Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
I just don't like that name
Nini shida wapendwa?Jina limefanyaje tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I just don't like that name
Nini shida wapendwa?Jina limefanyaje tena?
Jina limefanyaje tena?
Aisee hata sielewi bana.Nini shida wapendwa?
Hmm! Thought I was your Daddy too?I'm talking to my daddy, not you.
Acha kutaka kumrubuni mtumishi...
msifanye utani wanawake ktk ilo, shanga za kuvaliwa kiunoni zina siri kubwa tofauti na zile wanazoweka kwny sendo. ingawa unanunua kwa kijana lkn unapovaa tu imeshabadilika thamani hata huwez kumwonyesha tena yule aliye kuuzia. ZINGATIENI USHAURI KWANI WENGI HAWAJUI UTENDAJI WA KIROHO
Huyu bana ni Mtumishi fursa. Halafu mada zake huwa zinahusu wapendwa tu.
Simrubuni nataka hizi nanii ziombewe
Anatafuta mke ndio maana. Kasha-set mpaka tarehe, japo hana hata mchumba.Hahah nilimuuliza pasta hana mada nyingine akazugazuga tu....
Bro au stress za madrid ulizipeleka home?Aisee hata sielewi bana.
Anatafuta mke ndio maana. Kasha-set mpaka tarehe, japo hana hata mchumba.
Hmm! Thought I was your Daddy too?
Amen mtumishi, unatengua zikiwa zimevaliwa au?
Bro au stress za madrid ulizipeleka home?
Haaa?????
Mchungaji katisha....
hahahaha...huwa sipendi kucheka maneno ya watumishi ila kwa hili pastor nimekushindwa
sidhani kama kuna connection kwenye hilo, shanga zimekuwa zikivaliwa na mabibi zetu tangu enzi na enzi na ndoa zao zimekuwa zikidumu, zingine huvaliwa kama sehemu ya utamaduni wa makabila tofauti.
nadhani kila kitu shetani anaweza kukitumia ni mtu tu kuomba ulinzi wa mungu