Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
hahahaha...huwa sipendi kucheka maneno ya watumishi ila kwa hili pastor nimekushindwa
sidhani kama kuna connection kwenye hilo, shanga zimekuwa zikivaliwa na mabibi zetu tangu enzi na enzi na ndoa zao zimekuwa zikidumu, zingine huvaliwa kama sehemu ya utamaduni wa makabila tofauti.
nadhani kila kitu shetani anaweza kukitumia ni mtu tu kuomba ulinzi wa mungu
mambo ya kiroho huwezi kuyaelewa, uhusiano uliopo ni mkubwa na ndio maana wanawake wamekuwa wakisumbuliwa sn na nguvu za giza kuliko wanaume. shanga ni kitu cha sirini kama ilivyo chupi, unaponunua unanunua wazi kabsa tena kwa mwanaume, lakini unapovaa unavaa sirini. mm cjazuia kuvaa ila ni muhm kuzikomboa kwa damu ya Yesu.