Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

hahahaha...huwa sipendi kucheka maneno ya watumishi ila kwa hili pastor nimekushindwa
sidhani kama kuna connection kwenye hilo, shanga zimekuwa zikivaliwa na mabibi zetu tangu enzi na enzi na ndoa zao zimekuwa zikidumu, zingine huvaliwa kama sehemu ya utamaduni wa makabila tofauti.
nadhani kila kitu shetani anaweza kukitumia ni mtu tu kuomba ulinzi wa mungu



mambo ya kiroho huwezi kuyaelewa, uhusiano uliopo ni mkubwa na ndio maana wanawake wamekuwa wakisumbuliwa sn na nguvu za giza kuliko wanaume. shanga ni kitu cha sirini kama ilivyo chupi, unaponunua unanunua wazi kabsa tena kwa mwanaume, lakini unapovaa unavaa sirini. mm cjazuia kuvaa ila ni muhm kuzikomboa kwa damu ya Yesu.
 
mambo ya kiroho huwezi kuyaelewa, uhusiano uliopo ni mkubwa na ndio maana wanawake wamekuwa wakisumbuliwa sn na nguvu za giza kuliko wanaume. shanga ni kitu cha sirini kama ilivyo chupi, unaponunua unanunua wazi kabsa tena kwa mwanaume, lakini unapovaa unavaa sirini. mm cjazuia kuvaa ila ni muhm kuzikomboa kwa damu ya Yesu.

Pastor kwa hiyo ndo kusema badae utakuja kuombea chupi??
 
Haya wadada peleni viuno kwa pastor mkatenguliwe manuizo.
 
ivi izi dini za kutoka mashariki ya kati na asia kumbe zinatufanya tuwe vipofu hivi kwa mila na desturi zetu. duuh tunadhamini tamaduni za mwarabu na myahudi huku tukiona za kwetu ni ushenzi
 
Bwana Yesu asifiwe!

Leo nataka niwafungueni macho kondoo zangu.

Wanawake wengi wamekua wakipenda sana kuvaa shanga viunoni wakiamini ili kuwafurahisha wapenzi wao. shanga ni moja ya vitu vinavyotumiwa sana na waganga wa kienyeji kwny kazi zao.

Hivyo ili kuwashambulia wanawake kwa njia ya mapepo, waganga wengi wa kienyeji ndio watengenezaji wa shanga izo na kuzisambaza madukani kupitia watu wao ambapo huwa wanazinuizia roho za mapepo ya aina mbalmbal kama ifuatavyo:

1. Atakaevaa awe mgumba

2. Atakaevaa awe malaya, kahaba

3. Kwa alyeolewa asidumu katika ndoa

4. Atakaevaa asifanikiwe kiuchumi, mpenda anasa

5. Atakaevaa awe na mashetani

6. Atakaevaa aachike

7. Atakaevaa mfumo wake wa hedhi uvurugike

8. Atakaevaa awe na magomvi ktk na mumewe

9. Atakaevaa aingiwe na roho ya hasira

Hivyo wapendwa wangu unaweza kuona hukuwa na tabia fulani lakini kwa kuvaa ukajikuta unabadilika.Ndo maana ili wakujue umevaa shanga unakua unazini na kila mtu.

USHAURI: Kabla hujavaa shanga peleka kwa MCHUNGAJI Akaziombee ili kutengua hayo manuizo.


Hahaahah mleta mada you made my day....ninachokijua mm mtu ukienda kwa mchungaji akikuombea let say rozar baadae anakuvalisha.....sasa inakuwajebakimaliza maaombi kwa upande wa shanga????
 
Duuh pastor Illovo mtundu sana! Haya dada zetu pelekeni viuno vya shanga mtumishi akatoe upako!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu inaonyesha hujamuelewa kabisa mtoa mada yaani ni zero,sasa hbr hii na Umalaya vinahusiana vipi???.

Nenda kaombewe dada hakuna shida ila si unajua jamaa anaombea zikiwa zimevaliwa? Teh teh teh
 
Kakudanganya nani???mwanamke aliefundwa akafundika hawezi kuvaa cheni kiunoni, tunapokua mkoleni tunafundishwa kuvaa shanga na si cheni hao wanao vaa cheni huenda wametokea bala uko ata kufundwa hawafundwi
 
Back
Top Bottom