Teh teh teh Maalim unavyotangaza mapambano hapo kuna watu wanahara hovyo. Nafurahi shekh kusikia hivyo maana nikiwa bored huwa nasomaga tu reply zako kwa makafiri basi roho yangu huwa bardiiiiii kwelikweli.
Wagalatia walisema watakutana wanisomee Injili nipate kichaa.
Nikawauliza mstari gani mtakaosoma wa kumtia muungwana kichaa? Manake mistaru yote iliomo humo ni Mafumbo tu na mipasho.
Wakaanza matusi.
Baada ya kutukana nikawapa mfano wa mstari mmoja kisha nikaomba maana,
Mstari unasema
19"Kwa kuwa mtu awaye yote aliye na kilema hatakaribia; mtu kipofu, au kiwete, au mtu aliye na pua iliyoharibika, au aliye na kitu kilichozidi vimpasavyo mwili,-
19-au mtu aliyevunjika mguu, au aliyevunjika mkono,-
20-au aliye na kijongo, au aliye kibeti, au aliye na kilema cha jichoni, au aliye na upele, au mwenye buba, au aliyevunjika mapu.mbu;-
21-mtu awaye yote wa kizazi cha Haruni kuhani aliye na kilema asikaribie kuzisongeza sadaka za Bwana kwa njia ya moto; ana kilema huyo asikaribie kusongeza chakula cha Mungu wake.
Mambo ya walawi 21:19-21
Nikauliza je! Kwanini andiko linalaani walemavu na waliovunjika makende?
Na makosa yao nini hawa walemavu? Kuzaliwa na Upofu au ulemavu ni dhambi? Na kuvunjika makende kwenye ajali ya baskeli pia dhambi?
Wakaendelea kusali ili nipate kichaa.
Teh teh teh.