Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

wakat mwingne hata elimu upate ya aje haikuteng sana na mtazamo wa kabila lako kimalez, mila na tamadun. ni vyema ukajua pia kabila lake lina mambo gani ambayo pengne la kwako si kawaida. mfano mi kwa kabila langu kuvaa shanga na vikuku ni dalili kubwa ya umalaya na ukahaba na uhuni. had leo naish mjin lakin nikiona mwanamke amevivaa stimu ya iman kwake zaid ya kuoshea rungu inakata. siwez mpa thaman ya ziada.
 
Kipo sehemu gani mi mbona sikisee!!!!! nielekeze vyema
Kipo PM. Ila hii device nayotumia kwa sasa ina restricted access. Ngoja nimcheki my colleague Kaboom kama yuko ofisini muda huu, atusaidie kuelekeza.
 
Last edited by a moderator:
bro kaa ongea naye huyo ni mpenzi wako mweleze mambo ambayo huyapendi coz yaweza kua umeandika hapa kumbe ata hujawahi kaa naye ata siku moja ukamweleza
 
Lengo la sidiria ni kufanya yabane na yakae vizuri, labda kama unazungumzia zile za kunyanyua matiti yanakuwa juu juu sana
 
Bwana Yesu asifiwe!

Leo nataka niwafungueni macho kondoo zangu.

Wanawake wengi wamekua wakipenda sana kuvaa shanga viunoni wakiamini ili kuwafurahisha wapenzi wao. shanga ni moja ya vitu vinavyotumiwa sana na waganga wa kienyeji kwny kazi zao.

Hivyo ili kuwashambulia wanawake kwa njia ya mapepo, waganga wengi wa kienyeji ndio watengenezaji wa shanga izo na kuzisambaza madukani kupitia watu wao ambapo huwa wanazinuizia roho za mapepo ya aina mbalmbal kama ifuatavyo:

1. Atakaevaa awe mgumba

2. Atakaevaa awe malaya, kahaba

3. Kwa alyeolewa asidumu katika ndoa

4. Atakaevaa asifanikiwe kiuchumi, mpenda anasa

5. Atakaevaa awe na mashetani

6. Atakaevaa aachike

7. Atakaevaa mfumo wake wa hedhi uvurugike

8. Atakaevaa awe na magomvi ktk na mumewe

9. Atakaevaa aingiwe na roho ya hasira

Hivyo wapendwa wangu unaweza kuona hukuwa na tabia fulani lakini kwa kuvaa ukajikuta unabadilika.Ndo maana ili wakujue umevaa shanga unakua unazini na kila mtu.

USHAURI: Kabla hujavaa shanga peleka kwa MCHUNGAJI Akaziombee ili kutengua hayo manuizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…