Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Salaam kwenu wanaJF wote popote mlipo. Amani iwe nanyi.

Nimekuwa kwenye mahusiano ya takribani miaka mitatu(3) sasa na msichana ambaye awali alikuwa yupo chuoni ila kwa sasa ni mfanyakazi taasisi fulani hivi (jina kapuni). Amepangiwa nje ya MKOA wa DAR nilipo.

Tulipoanza mahusiano haya hakuwahi kunionyesha anayonionesha hivi sasa.

Amekuwa akipost pictures mbalimbali akiwa amevaa ''vimini'' na ''vishanga (vikuku)'' mguuni.

Nimejaribu kumuuliza nini MANTIKI ya hizo picha, kanijibu eti "mbona kawaida tu.

NIPO SO FRUSTRATED; ISIJE IKAWA KAANZA KALE KATABIA... MAANA NILISHA MTAMBULISHA KWA BAADHI YA NDUGU.

Pole sana kaka daaah mara nyingi uyu shemeji nakutana nae pale msamvu round about anapenda sana kupigia picha pale.
 
Mm na bibi yangu kule kijijini anavaa yale madude makubwa miguuni na shingoni nayo sijui itatafsiriwa vipi
 
NAPENDA KUWASHURU WANA JF WOTE KWA SHAURI ZENU NZURI ZA KUIMARUSHA AKILI ZA WATU.

Leo kuna mdada mmoja jirani amevaa shanga kiunoni kama mzigo vile ila cha kushangaza huwa anaziachia wazi mpaka inapelekea watu tunataka kuwasaliti wake zetu,nje tufanyaje na isitoshe tumemshauri mara kibao lakinihasikii na yeye wakati huo ni mke wa mtu.
 
Umesha sema kama mzigo, sasa
NAPENDA KUWASHURU WANA JF WOTE KWA SHAURI ZENU NZURI ZA KUIMARUSHA AKILI ZA WATU.

LEO kuna mdada mmoja amevaa shanga kiunoni kama mzigo vile ila cha kushangaza huwa anaziachia wazi mpaka inapelekea watu tunataka kuwasaliti wake zetu ,je tufanyaje na isitoshe tumemshauri mara kibao lakinihasikii na yeye wakati huo ni mke wa mtu.
Mzigo utajifichaje?
 
Loh aisee yaani kazi huna mpaka unashinda kuwashauri wake za watu wasivae shanga?
Hembu kuwa serious na maisha mkeo si unaye mvishe za kutosha mpaka jirani aone wivu!
 
NAPENDA KUWASHURU WANA JF WOTE KWA SHAURI ZENU NZURI ZA KUIMARUSHA AKILI ZA WATU.

LEO kuna mdada mmoja amevaa shanga kiunoni kama mzigo vile ila cha kushangaza huwa anaziachia wazi mpaka inapelekea watu tunataka kuwasaliti wake zetu ,je tufanyaje na isitoshe tumemshauri mara kibao lakinihasikii na yeye wakati huo ni mke wa mtu.

Fikiria na kutafakari mambo ya maendeleo, binafsi na jamii ikuzungukayo kwanza...achana na shanga kwani ni matakwa binafsi ya mvaaji!
 
Shauri zako utachinjiwa baharini usababishe samaki wakunyonye ulimi .....
 
ukiwa karibu nae, na akiwa ameziwacha wazi, wewe cha kufanya ni kumfuata na kupeleka mkono n kuanza kuzichezea....
 
NAPENDA KUWASHURU WANA JF WOTE KWA SHAURI ZENU NZURI ZA KUIMARUSHA AKILI ZA WATU.

Leo kuna mdada mmoja jirani amevaa shanga kiunoni kama mzigo vile ila cha kushangaza huwa anaziachia wazi mpaka inapelekea watu tunataka kuwasaliti wake zetu,nje tufanyaje na isitoshe tumemshauri mara kibao lakinihasikii na yeye wakati huo ni mke wa mtu.
mmmh mveshe na wewe wa kwako kwani shanga zi buku tu? loh
 
Back
Top Bottom