Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mimi na gwajima na wachungaji wote ni watu hatari sana. Tukiamua tunakusukumia mapepo sasa hivi.
Kijana unatukana Watakatifu?
Mai wangu weeee!
Na Ushindwe, ushindwee.
Wii wii wiii wiii.
Hangla shangla hunda henga,
Ai ai ai ai ai.
Weeee. Usicheze na Watakatifu. Utatambaa sasa hivi,

Huyo Hajui Mamlaka Tuliyonayo!! Anadhani Yesu Aliondoka Na Upako Mbinguni? Yesu Aliondoka Lkn Upako Alituachia Na Mpk Leo Tunaweza Kuulaani Mti Na Ukakauka.
 
Haleluyah mtumishi.
Kijana hayajui haya.
 
Wee atoto, iyo ni tahadhali kwa ajili ya usalama wa maisha wako. mm nakushauri uokoke umpe yesu maisha yako, naye atakulinda na kukubariki.

Mara ngapi? Niko mahali salama kabisaaa, nashikilia nilichonacho wala siyumbishwi.
 
Ni urembo tu. Wapo wengi hawavai hivyo vikuku wanaliwa 0672. Kifupi n tabia tu ya m2
 
Kikuku wengi wanachukulia kama urembo au ubishoo tu. wengine wanavika hadi vidole vya miguuni.

Tena anayetumia tigo hatavaa hiyo makitu kwa kuwa anajuwa

Huyo ni ushamba tu, mwambie maana ya kuvaa hivo na ataviacha.
 
Pole sana,,,, nilikuwa naye morogoro hotel moja hivi
Mtamu kishenxi,
Si muachi huyu demu haki ya mbuzi
 
Mb
Salaam kwenu wanaJF wote popote mlipo. Amani iwe nanyi.

Nimekuwa kwenye mahusiano ya takribani miaka mitatu(3) sasa na msichana ambaye awali alikuwa yupo chuoni ila kwa sasa ni mfanyakazi taasisi fulani hivi (jina kapuni). Amepangiwa nje ya MKOA wa DAR nilipo.

Tulipoanza mahusiano haya hakuwahi kunionyesha anayonionesha hivi sasa.

Amekuwa akipost pictures mbalimbali akiwa amevaa ''vimini'' na ''vishanga (vikuku)'' mguuni.

Nimejaribu kumuuliza nini MANTIKI ya hizo picha, kanijibu eti "mbona kawaida tu.

NIPO SO FRUSTRATED; ISIJE IKAWA KAANZA KALE KATABIA... MAANA NILISHA MTAMBULISHA KWA BAADHI YA NDUGU.[/QUOTEhivyo ni vitu vya kaeaida tu
 
Yupo sokoni, anajaribu kujiuza.
The highest bidder gets papuchi.
 
"ASIJEKUWA AMEANZA KALE KATABIA."...NI KATABIA GANI NIELEWESHA NIELEWE MKUU
 
Back
Top Bottom