Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

 
Mm na bibi yangu kule kijijini anavaa yale madude makubwa miguuni na shingoni nayo sijui itatafsiriwa vipi
 
NAPENDA KUWASHURU WANA JF WOTE KWA SHAURI ZENU NZURI ZA KUIMARUSHA AKILI ZA WATU.

Leo kuna mdada mmoja jirani amevaa shanga kiunoni kama mzigo vile ila cha kushangaza huwa anaziachia wazi mpaka inapelekea watu tunataka kuwasaliti wake zetu,nje tufanyaje na isitoshe tumemshauri mara kibao lakinihasikii na yeye wakati huo ni mke wa mtu.
 
Umesha sema kama mzigo, sasa
Mzigo utajifichaje?
 
Loh aisee yaani kazi huna mpaka unashinda kuwashauri wake za watu wasivae shanga?
Hembu kuwa serious na maisha mkeo si unaye mvishe za kutosha mpaka jirani aone wivu!
 

Fikiria na kutafakari mambo ya maendeleo, binafsi na jamii ikuzungukayo kwanza...achana na shanga kwani ni matakwa binafsi ya mvaaji!
 
Shauri zako utachinjiwa baharini usababishe samaki wakunyonye ulimi .....
 
ukiwa karibu nae, na akiwa ameziwacha wazi, wewe cha kufanya ni kumfuata na kupeleka mkono n kuanza kuzichezea....
 
mmmh mveshe na wewe wa kwako kwani shanga zi buku tu? loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…