Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hivi hayo mashanga huwa yanavaliwa kama urembo au huwa yanavaliwa kwa sababu zingine?

Manake mimi nayaona kama mauchafu uchafu tu....kama mahirizi flani hivi.
 
Ukiona vile basi ujue analake jambo, mkamateni mfinye (mbinueni) ataacha mwenyewe kuwaonyesha tena.
 


Mkuu ndiyo kwanza umebalehe au? Shanga za kiunoni zisikubabaishe kwani wadada wengi huvaa zile kama hirizi ya kuiba wanaume. Ukiwa mjinga na kutembea na mdada aliyevaa shanga, basi jiandae kuacha mkeo bila kupenda....utakuja kushituka una ngoma na demu kakuacha unaugua peke yako. Wadada wengi wenye kuvaa shanga ni makahaba na walioshindikana, baada ya kuchoka ukahaba wanatafuta waume za watu kwa kujidanganya kuvaa shanga kumbe ni hirizi za kuwapumbaza wanaume vicheche.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…