Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Zinatia mizuka sana sisi wanaume.Lakini yasiwe meengi kama mchawi!!!
 
Hizi ni Uji wa mgonjwa, zinaongeza hamu ukizishikashika.
 
TUJUZE KUHUSU HII KITU MIMI DEMU MWENYE KUVAA IZI NAMUONA KAMA MCHARUKO PIA NA HARUFU YA USHIRIKINA INAKUJA HAPOHAPO
 
Mama weeee!!
Jamani..mbona karibu nizimie kwa tafsiri mnazotoa!
we zimia tu kikuku kikivaliwa kimoja upande wowote humaanisha alivaa anaharisha.vikivaliwa miguu yote humaanisha mvaaji anaharisha na kukojoa.kwa wanaume hereni ya kushoto kwa wenye maana zao ni mende yaani anapenda mavi,kwa kulia ni mchele wapepetwa huo.kama zikivaliwa hereni mbili maana yake nipige nikupige lala laliwa hilo.karibu pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…