Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan sisi wazungu?mambo ya uswahilini hayo...
Zinakutosha?!...vaa tu ni urembo mzuri sanaJamani hivi uvaaji wa Shanga ni ushamba wa kizamanii Au Ndo maraha???? natamani kuzivaa Ila naogopa ntaonekana mshamba,na nimezinunua tayari..
Ushauri wenu was bure na staki matusi wala dharau Kama vepe unaweza uka pita mdogo mdogo[emoji124] [emoji124] [emoji124]
mbona humu wazungu wengi tuu...Kwan sisi wazungu?
Nilifikiri zinavaliwa mnapokua mnaenda Kwenye shughuli tu kumbe full time.Hyo mambo ilinishindaga aisee nlikuwa nikivaa nikienda toilet navua surual unajikuta nmezivuta zimekatika nkaona hii mambo siwezi
Nne je kwani nyingiii.... from ur experience with different colourMshirikishe kwanza mwenza wako ndo atakupa maoni yaliyo sahihi. Unaweza vaa then akakuona kama Malaya au pengine akavutiwa zaidi.
Ningekuwa mm ningekuambia vaa ila zisizidi tatu na sio kila siku uzivae[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Naomba wazungu wajitokeze....nina wasiwasi na uzungu wao..mbona humu wazungu wengi tuu...
Umenifurahish sanaaaaaa inaonekna unapenda niniii[emoji1]kavae mama kavae tu kavae kavae tena nyingi tu nenda kave vaa haswaaa
Unataka kuvaa ngapi?Jamani hivi uvaaji wa Shanga ni ushamba wa kizamanii Au Ndo maraha???? natamani kuzivaa Ila naogopa ntaonekana mshamba,na nimezinunua tayari..
Ushauri wenu was bure na staki matusi wala dharau Kama vepe unaweza uka pita mdogo mdogo[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Kuna zile Za wamasai ambao hawazichakachuiii wtu skuizi nao wapo kibiasharaHyo mambo ilinishindaga aisee nlikuwa nikivaa nikienda toilet navua surual unajikuta nmezivuta zimekatika nkaona hii mambo siwezi