Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mdau mimi kwa kweli, vyote sioni km vina maana, hasa wanaotoboa kwenye pua, hakuna mvuto wowote ninaouona pale na hayo ma chachandu najionea uchafu tu, heri hata my wife sikumkuta akivaa hayo ma shanga

Hayo mashanga ni uchafu tu. Yanamfanya mwanamke aonekane kama mganga wa kienyeji....yamekaa kama hirizi....
 
Hayo mashanga ni uchafu tu. Yanamfanya mwanamke aonekane kama mganga wa kienyeji....yamekaa kama hirizi....
Wakuu shanga nyembamba mstari kama mmoja vile mzuka ile mbaya ila vipini na vikuku si mwanachama wa mlengo huo.
 
Wana JF,

Nini Madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu,

1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia
2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja
3: Na mwisho ni Shanga za kiunoni.

Je waona je vyapoteza maana halisi kwa wanao vaaa hole hole hole au?

Maoni yako tafadhali changia

Umesahau Kipini kinachoweka katika Ulimini ,hicho nakielewa Maana yake lakini kwakuwa hukuweka katika maswali yako ,sitoweza kutowa jibu ,isipokuwa nitakuliza swali Hivi Umesha kutana na Msichana aliweka kipini katika Ulimi wake ?
 
Siamini kama wanaume wanachangia hii! looh! Ingawa haikutaja nani achangie na nani aache lakini mi mwenzenu sikutegemea kama wanaume wanaweza kukaa na kuwaza na kisha kuamka na mawazo kama hayo niliyosoma! Mbarikiwe!
 
shanga za kiunoni licha ya mazoea na utamadini, ni prestige ya msichana/mwanmke............ hutumika kama litmus paper kutest kama msichana/mwanamke husika ana kiuno cha nyigu........... kiumbuka huvaliwa kupitia kichwani na si miguuni, sasa kama mwandada ana kiuno cha nyigu zikishuka kufikia kiunoni zitakwama pale na kugota............ haziwezi kushuka zaidi........... hapo zinahuisha ego ya msichana na akingia chumbani kwa kuzitazama tu zilivyogota na kuning'inia kwenye nyonga, basi mwanume naye hujikuta akijisikia kuwa kapata mtoto wa nguvu.............. yaani mwenye kuino kisicho na mjadala na chenye kutoa ushindani............

hisia kama hizi ni muhimu sana kumfanya mwanume ajamni na hivyo kuongeza ufanisi wa tendo la ndoa.............. utafiti umethibitisha kuwa mamabo ama haya huongeza performance ya mpambano................ na kwa mwanamke utafiti umeonyesha kuwa hisia za akina dada wengi ni kuwa kama akivaa shanga zikapitiliza kiunoni na kuanguka chini.............. hupata madhara makubwa sana ya kisaikolojia na anaweza hata kujiua (suicide) kwa kujihisi kuwa hapendezi...................

kuna mila zingine za makabla hutaka mwanmke avae hizo ili kumkamilisha............ kwa hiyo hapa ni mila zaidi na asipovaa huonekana kama hajakamilika na hata kwake binafsi hujisikia vibaya.......... na kila mwanaume atakayeutana naye wa jamii yake atahoji hilo na hivyo kumletea usumbufu.............

ni mambo kama hayo, kuweka hisia katika "wehu" na kuziumua wakati wa mapenzi japo pia kuna watu hupenda kuzichezea wakati wakifanya mapenzi kama sehemu ya foreplay ama hata wakati wa hardcore................

lakini utafiti uliofanyika katika jamii kadhaa za kibantu..................umegundua pia kuwa waawake amabo hapo kabla walijihania kuwa si wazuri wa kuvutia wanaume kwa maumbile yao walipovaa shanga walijisikia kujamini zaidi na maumbile yao kwani zilikuwa kama kifaa cha kuprove their natural beauty................

malengo ya vikuku na vishaufu navyo si tofauti sana na haya ............. na unaweza kugeneralise kuwa ni mapambo zaidi.............. kumbuka saikolojia ya jamii nyingi zimelenga kumfanya mwanamke awe wa kuvutia............... na kiklezo cha mapenzi.....................

naamini kwa kifupi hivyo nitakuwa nimeeleweka.............
 
Wana JF,

Nini Madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu,

1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia
2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja
3: Na mwisho ni Shanga za kiunoni.

Je waona je vyapoteza maana halisi kwa wanao vaaa hole hole hole au?

Maoni yako tafadhali changia


ni bidhaa za urembo tu, wala usijiumize kichwa.
 
Mmh mie mgeni katika haya, ngoja nikae pembeni niwasikilizie wajuzi.
 
Huu ni urembo tu na si vingine..
shanga pia naona kama ni urembo kwa mwanamke ..hasa kama anaka umbo kazuri labda zinapendeza ..kukaa hapo zilipo
 
Kusema kweli kipini cha puani kinaniboa kuliko urembo wa aina nyingine yeyote. Lazima niwe mkweli
 
Kusema kweli kipini cha puani kinaniboa kuliko urembo wa aina nyingine yeyote. Lazima niwe mkweli

Mie pia sikipendi hata kidogo harafu unakuta mdada kakiweka kinaning'inia hadi kinaharibu urembo wa usoni
 
Kipini cha kwenye ulimi ni noma hasa katika majambozi ya kulambwa koni weeeee...utapagawa, ila hapo hakikuwekwa
 
Kipini cha kwenye ulimi ni noma hasa katika majambozi ya kulambwa koni weeeee...utapagawa, ila hapo hakikuwekwa

Mmh Kibweka naona mambo yako si haba ulijulia wapi hayo..?? kwa huyu ulo nae au yule mwingine!?
 
wana jf,

nini madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu,

1: kipini cha puani a.k.a (kishaufu) iwe kushoto au kulia
2: kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja
3: na mwisho ni shanga za kiunoni.

je waona je vyapoteza maana halisi kwa wanao vaaa hole hole hole au?

maoni yako tafadhali changia
ni mapambo
 
Shanga mwake bwana inaongeza mvuto kama kachumbari kwa pilau, yaani utangulia kulala then wife aingie kwa kitanda kapiga shanga au cheni bahati mbaya mkono umuguse maeneo ya nyongani lazima ibada ifanyike, kikuku na kipini mhh hata sijui chaongezani.
 
Kwa ninavyofahamu mimi, kuvaa KIKUKU mguu wa kushoto, kunaashiria vibaya.. Kunamaanisha anatumia kinyume na maumbile.. Na kuvaa miguu yote, huyo anahusudu sana NGONO na anajiona anapendwa sana na wanaume.. Ila wengine wengi huvaa kwa kuiga..
 
Back
Top Bottom