Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 319
hapo chachaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
na wanaume wenye kuvaa hereni tigo inaruhusiwa pia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wanaume wenye kuvaa hereni tigo inaruhusiwa pia?
wenzetu wa nchi za magharibi ukivaa ear ring kama wewe ni dume maana yake ni wewe ni gay/shoga/bwabwahapo chachaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
Bado hapo mi naona ni myth tu! ishu inabaki kuwa ni urembo tu kama urembo mwingine...siye ndo tunawatafsiri vibaya
kwa mwanaume mwneye akili timamu hawezi kumtafsiri mdada anayevaa kikuku kuwa anatoa tigo
hapa mbona watu wengine wanatoa tigo na hawavai hivo vikuku?
Mi binafsi napenda kuangalia uumbaji so anayekuwa amekivaa afu ana mguu unaoendana nacho basi huwa namfagilia kwa sana tu! Thanks Mrs wangu naye yumo!
Thanks Kaizer ..
Tuwasamee tu hawa sababu hawajui walifanyalo,wanaishi maisha ya kukopi na ku paste,wakiona akina Oprah wanavaa hiki nao wataiga bila kujua sababu yake,tuwaache tu waendelee na upofu wao!!Hivi hamjiulizi tumerithi wapi tamaduni hizi,mbona bibi na babu zetu hawakuzipitia,babu hakuvaa heleni wala bibi kikuku!!
kwani shanga zimetokea wapi?kwa kina opra?
kwani shanga zimetokea wapi?kwa kina opra?
nashangaaaaaaaaaaa
nadhani wamasai hawajakopi kokoten ni utamaduni wao kwa raha zao!😀
Na kwa wanaume wavaao hizo cheni / shanga miguuni?
Ni mapambo tu. Hata X-gf wangu alikuwa anavaa lakini hana huo mchezo!
Hayo yote ni jumla ya mapambo ya Wanawake, haya maana yoyote ile zaidi ya kinamama katika kujipara na kujishauwa kwao na mapambo ya dhahabu na fedha.Wana JF,
Nini Madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu,
1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia
2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja
3: Na mwisho ni Shanga za kiunoni.
Je waona je vyapoteza maana halisi kwa wanao vaaa hole hole hole au?
Maoni yako tafadhali changia