Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hayo mashanga ni uchafu tu. Yanamfanya mwanamke aonekane kama mganga wa kienyeji....yamekaa kama hirizi....

Kwe kweli hata mie mishanga hainitoi. Especially nikikutana na mdada aliyeshika kitabu kidogo kavaa mishanga naanza kumrudisha kwa wale wenye fikra za kienyeji enyeji, uswahili swahili. Infact I feel mistaken or miscalculated , then I ignore everything .
 
Mie pia sikipendi hata kidogo harafu unakuta mdada kakiweka kinaning'inia hadi kinaharibu urembo wa usoni

teh teh nsitake ni cheke mie FL1!

1: Jibu la swali la kwanza:

Kuna mtu kanipigia simu na kuniambia ati kipini cha Puani a.k.a Kishaufu ni pindi binti au mwanamke hujiwekea kwa ishara ya kumweleza mwenziwe au mumewe kuwa leo nahitaji tendo la ndoa.

Ni kweli hili???

Je kwa hili swala au hoja nilio iwakilisha kwenu yahitaji Kitchen Part au pia nasikia siku hizi kuna Bachelor Part ili tuwe twajikumbusha mambo mengine muhimu na sio kuiga tu kama wana JF wengine waliochangia

Kuna yule dada mtangazaji mpya(Lotus) wa Nirvana EATV,huwa anakivaa hicho kipini basi ndo kinaboa na kuharibu uzuri wake wote.
Ndo madhara ya kuiga kila kitu haya, watu wanakuwa kama mabedui wakivaa, sijui hawana wanaume wa kuwaambia kuwa hawapendezi? Wakija ICU na vipini vyao watajuta, ooh! Ethics za kazi haziniruhusu lakini, nimekumbuka
 
Hahahahahahaaaa.Inategemea na mwanaume wa wapi.Si unajua kuna utofauti wa mwanaume wa ICU na wa kwenye taarabu?wana vionjo tofauti.
Kwa ufupi wa ICU anaweza kusahau mkasi tumboni.
 
Hahahahahahaaaa.Inategemea na mwanaume wa wapi.Si unajua kuna utofauti wa mwanaume wa ICU na wa kwenye taarabu?wana vionjo tofauti.
Kwa ufupi wa ICU anaweza kusahau mkasi tumboni.
Charity, my dear, hapo kwenye blue umenena ukweli pasipo kumumunya maneno. Wengine wasiponyanyua vidole hawajalala, sasa wataachaje kufurahia vipini? Asante
 
Charity, my dear, hapo kwenye blue umenena ukweli pasipo kumumunya maneno. Wengine wasiponyanyua vidole hawajalala, sasa wataachaje kufurahia vipini? Asante
Lakini kwa afya yako,usikae sana ICU ,utakuwa kreze.jichanganye siku mojamoja kwenye arambaaa.
 
Nadhani ni namna nyingine tu ya kujipamba kwa akina mama zetu ambayo mimi nadhani haina maana yeyote ya maana. LAKINI JAPO INAWEZA KUWA NJE YA MADA NAPENDA KUULIZA PIA NINI MATUMIZI YA KUVAA HELENI KWA AKINA BABA?
 
Lakini kwa afya yako,usikae sana ICU ,utakuwa kreze.jichanganye siku mojamoja kwenye arambaaa.
Hili la kweli kabisa, tatizo ni hizi ajali za bongo, hupati nafasi ya kupumua, mara kaja wa baiskeli, bajaji, mkokoteni, daladala etc. Nafikiri ile kampeni ya speed governor ikifanikiwa inaweza kunipa time ya kwenda huko kwa alambaaa
 
Kuna yule dada mtangazaji mpya(Lotus) wa Nirvana EATV,huwa anakivaa hicho kipini basi ndo kinaboa na kuharibu uzuri wake wote.
huwa anasababisha hadi kile kipindi nikichukie...
 
huwa anasababisha hadi kile kipindi nikichukie...
Nashukuru Anti-kipini pua wanaongezeka. Kwakweli hata mimi narudia kusema kuwa nakichukia. Toboa kote (except kule ambako unatakiwa ufike mwenyewe maana nako kule kutazua mjadala mwingine alikutoboa nani) lakini sio pua unakuwa kama dume korofi bana
 
Nadhani ni namna nyingine tu ya kujipamba kwa akina mama zetu ambayo mimi nadhani haina maana yeyote ya maana. LAKINI JAPO INAWEZA KUWA NJE YA MADA NAPENDA KUULIZA PIA NINI MATUMIZI YA KUVAA HELENI KWA AKINA BABA?
Ni ulimbukeni tu unawasumbuwa...! Labda kwa kuwa wanawaona wanawake wanapendeza na kupendwa kwa kuvaa kwao vikuu na hereni nao wanaamua kuiga ili wapendwe na wanaume wenzao.
 
Ni ulimbukeni tu unawasumbuwa...! Labda kwa kuwa wanawaona wanawake wanapendeza na kupendwa kwa kuvaa kwao vikuu na hereni nao wanaamua kuiga ili wapendwe na wanaume wenzao.
hata mie naboreka na wanaume wenye kutoga masikio,wengine ulimi kauvalisha kihereni jamni!
hata wadada mi napenda mtu akitoga masikio tu lkn sio puani,kitovuni,sijui ulimi kwa kweli binafsi naona ni kujiharibia image!
 
shanga au mkufu kiunoni ni kitu kinachovutia; ni pambo na kwa kweli lianboost sna ego ya mapenzi yenu wahusika ikiwa wote mnalikuballi!
 
DSC_0690_src.jpg

polkadot.jpg

Hivi hawa warembo hivi vikukuu vinaweza kuleta mtizamo na maana tofauti kwa jamii?
 
Mie naona ni urembo wa kawaida tuu mbona hata mie navaa:A S 8::A S 8:
Mama msaada kwani inamaanisha kitu kibaya???
 
Nasikia huwa inamaanisha unafunguka kushoto au kulia au sehemu zote. Sijawahi kuona mwanaume anavaa kikuku, nashukuru roho yangu imetulia.
 
Mie naona ni urembo wa kawaida tuu mbona hata mie navaa:A S 8::A S 8:
Mama msaada kwani inamaanisha kitu kibaya???

daah maria Roza naona wadada kwenye pic wamependeza sana ila mie naogopa kuvaa :becky:
 
Back
Top Bottom