Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Zinakutosha?!...vaa tu ni urembo mzuri sana
 
Hyo mambo ilinishindaga aisee nlikuwa nikivaa nikienda toilet navua surual unajikuta nmezivuta zimekatika nkaona hii mambo siwezi
Nilifikiri zinavaliwa mnapokua mnaenda Kwenye shughuli tu kumbe full time.
Utakuta mwingine ameyavaa mengi mpaka kero.
 
Mshirikishe kwanza mwenza wako ndo atakupa maoni yaliyo sahihi. Unaweza vaa then akakuona kama Malaya au pengine akavutiwa zaidi.
Ningekuwa mm ningekuambia vaa ila zisizidi tatu na sio kila siku uzivae[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nne je kwani nyingiii.... from ur experience with different colour
 
You started a thread for attention or? Vitu kama hivi vya kuuliza wapita njia kweli? No wonder our days in marriage are shorter than of MP's!!
 
Vaa mwaya... tupia viwili twenye rangi nzuuuuur we mwenyew utapnda kijiuno chko.. teh teh!
 
Unataka kuvaa ngapi?
 
Hyo mambo ilinishindaga aisee nlikuwa nikivaa nikienda toilet navua surual unajikuta nmezivuta zimekatika nkaona hii mambo siwezi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Kuna zile Za wamasai ambao hawazichakachuiii wtu skuizi nao wapo kibiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…