Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mdau mimi kwa kweli, vyote sioni km vina maana, hasa wanaotoboa kwenye pua, hakuna mvuto wowote ninaouona pale na hayo ma chachandu najionea uchafu tu, heri hata my wife sikumkuta akivaa hayo ma shanga
Wakuu shanga nyembamba mstari kama mmoja vile mzuka ile mbaya ila vipini na vikuku si mwanachama wa mlengo huo.Hayo mashanga ni uchafu tu. Yanamfanya mwanamke aonekane kama mganga wa kienyeji....yamekaa kama hirizi....
Wana JF,
Nini Madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu,
1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia
2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja
3: Na mwisho ni Shanga za kiunoni.
Je waona je vyapoteza maana halisi kwa wanao vaaa hole hole hole au?
Maoni yako tafadhali changia
Wana JF,
Nini Madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu,
1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia
2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja
3: Na mwisho ni Shanga za kiunoni.
Je waona je vyapoteza maana halisi kwa wanao vaaa hole hole hole au?
Maoni yako tafadhali changia
Kusema kweli kipini cha puani kinaniboa kuliko urembo wa aina nyingine yeyote. Lazima niwe mkweli
Kipini cha kwenye ulimi ni noma hasa katika majambozi ya kulambwa koni weeeee...utapagawa, ila hapo hakikuwekwa
ni mapambowana jf,
nini madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu,
1: kipini cha puani a.k.a (kishaufu) iwe kushoto au kulia
2: kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja
3: na mwisho ni shanga za kiunoni.
je waona je vyapoteza maana halisi kwa wanao vaaa hole hole hole au?
maoni yako tafadhali changia
Nashukuru kuwa kuna wanaokichukiaMie pia sikipendi hata kidogo harafu unakuta mdada kakiweka kinaning'inia hadi kinaharibu urembo wa usoni
Mmmh!! Wedding Hall au Conference Hall?ni mapambo
Kuna yule dada mtangazaji mpya(Lotus) wa Nirvana EATV,huwa anakivaa hicho kipini basi ndo kinaboa na kuharibu uzuri wake wote.Nashukuru kuwa kuna wanaokichukia
hahahahaaaa!!Mmmh!! Wedding Hall au Conference Hall?