Hayo mashanga ni uchafu tu. Yanamfanya mwanamke aonekane kama mganga wa kienyeji....yamekaa kama hirizi....
Mie pia sikipendi hata kidogo harafu unakuta mdada kakiweka kinaning'inia hadi kinaharibu urembo wa usoni
Ndo madhara ya kuiga kila kitu haya, watu wanakuwa kama mabedui wakivaa, sijui hawana wanaume wa kuwaambia kuwa hawapendezi? Wakija ICU na vipini vyao watajuta, ooh! Ethics za kazi haziniruhusu lakini, nimekumbukaKuna yule dada mtangazaji mpya(Lotus) wa Nirvana EATV,huwa anakivaa hicho kipini basi ndo kinaboa na kuharibu uzuri wake wote.
Wewe unakosa comment leo au uko kambini unajifua na uzinduzi wa JF Jazz Band?hahahahaaaa!!
no comment
Hahahahahahaaaa.Inategemea na mwanaume wa wapi.Si unajua kuna utofauti wa mwanaume wa ICU na wa kwenye taarabu?wana vionjo tofauti.Ndo madhara ya kuiga kila kitu haya, watu wanakuwa kama mabedui wakivaa, sijui hawana wanaume wa kuwaambia kuwa hawapendezi? Wakija ICU na vipini vyao watajuta, ooh! Ethics za kazi haziniruhusu lakini, nimekumbuka
Charity, my dear, hapo kwenye blue umenena ukweli pasipo kumumunya maneno. Wengine wasiponyanyua vidole hawajalala, sasa wataachaje kufurahia vipini? AsanteHahahahahahaaaa.Inategemea na mwanaume wa wapi.Si unajua kuna utofauti wa mwanaume wa ICU na wa kwenye taarabu?wana vionjo tofauti.
Kwa ufupi wa ICU anaweza kusahau mkasi tumboni.
Lakini kwa afya yako,usikae sana ICU ,utakuwa kreze.jichanganye siku mojamoja kwenye arambaaa.Charity, my dear, hapo kwenye blue umenena ukweli pasipo kumumunya maneno. Wengine wasiponyanyua vidole hawajalala, sasa wataachaje kufurahia vipini? Asante
Hili la kweli kabisa, tatizo ni hizi ajali za bongo, hupati nafasi ya kupumua, mara kaja wa baiskeli, bajaji, mkokoteni, daladala etc. Nafikiri ile kampeni ya speed governor ikifanikiwa inaweza kunipa time ya kwenda huko kwa alambaaaLakini kwa afya yako,usikae sana ICU ,utakuwa kreze.jichanganye siku mojamoja kwenye arambaaa.
huwa anasababisha hadi kile kipindi nikichukie...Kuna yule dada mtangazaji mpya(Lotus) wa Nirvana EATV,huwa anakivaa hicho kipini basi ndo kinaboa na kuharibu uzuri wake wote.
Nashukuru Anti-kipini pua wanaongezeka. Kwakweli hata mimi narudia kusema kuwa nakichukia. Toboa kote (except kule ambako unatakiwa ufike mwenyewe maana nako kule kutazua mjadala mwingine alikutoboa nani) lakini sio pua unakuwa kama dume korofi banahuwa anasababisha hadi kile kipindi nikichukie...
Ni ulimbukeni tu unawasumbuwa...! Labda kwa kuwa wanawaona wanawake wanapendeza na kupendwa kwa kuvaa kwao vikuu na hereni nao wanaamua kuiga ili wapendwe na wanaume wenzao.Nadhani ni namna nyingine tu ya kujipamba kwa akina mama zetu ambayo mimi nadhani haina maana yeyote ya maana. LAKINI JAPO INAWEZA KUWA NJE YA MADA NAPENDA KUULIZA PIA NINI MATUMIZI YA KUVAA HELENI KWA AKINA BABA?
hata mie naboreka na wanaume wenye kutoga masikio,wengine ulimi kauvalisha kihereni jamni!Ni ulimbukeni tu unawasumbuwa...! Labda kwa kuwa wanawaona wanawake wanapendeza na kupendwa kwa kuvaa kwao vikuu na hereni nao wanaamua kuiga ili wapendwe na wanaume wenzao.
Mie naona ni urembo wa kawaida tuu mbona hata mie navaa:A S 8::A S 8:
Mama msaada kwani inamaanisha kitu kibaya???