Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mmh. Nionavyo siku zote tangu ianze hii ya kuvaa kikuku maana halisi ya ule uvaaji bado haujapatikana zaidi ya watu kuhisi kwamba anayevaa hivi basi atakuwa anafanya hivi.

Hivyo ni vyema kuachana nao kwa kuwa wanavaa wenyewe na maana ya huo uvaaji wao pia watakuwa nayo wenyewe.
 
Kumbe unavaaa!? Ni PM pls
 
mimi sivipendi[emoji23] baadhi ya watu nnaowafahamu wanavaaga najaribu kuwaelekeza wanasema ni urembo tu hakuna lolote.
Ila kuvaa kikuku ni nembo ya umalaya, mguu wa kushoto nyuma ,wa kulia mbele...
akivaa yote anauza pote[emoji23][emoji23].


Halafu zamani walikua wanavaa walioolewa ambao mumewe jogoo hasimami ,kwahiyo akivaa anamaanisha mumewe hawezi kitu yuko tayari kwa mpango wa kando na Bwana karuhusu( mama ndivyo alivosema )
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kila mtu na perception yake..
Ukikandia kikuku na cheni za kiunoni je?!!!
Na wanaotoboa masikio matundu sita sita je?!!

Me navaa na nnaviuza jamn..mwenye kuhitaji karibu PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…