Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Ohooooo!!!Kumbe ndio vinamaanisha hivyo.
 
Hahaha! Umenena mkuu!!! Ishu ni kuiga... Ata kama wengine wanatumia kiurembo tu, ili mradi sio utamaduni wako basi utatafsiriwa tofauti tu...
Ni kama ncvbi za wenzetu kuna beach watu hawavai nguo kabisa, ukifanya hivyo huku kwetu wote mtakimbizwa milembe.
Ni kama mwanaume akipala lip balm, ataonekana shoga tu ata kama nia yake ilikua ni kuzuia lips kupauka.
 
Nimekumbuka mwanamama Ritha Mlaki alikua anapenda sana kuvaa vikuku enzi hizo mbunge, kuna baadhi ya wamama ni wastaarabu na wanavaa.
Huyo mama si kunakipindi Mange kimambi alitoa maelezo kwamba anatembeza sana kwa vijana wadogo au nimemchanganya?
 
Hapana!!! Mie mama atakaevaa kikuku namtoa kwenye ustaarabu! Hao wabunge wanauvaa tu ustaarabu kwa ajili ya nafasi wanazoshika ila ukienda nyumba ya pazia hawana tofauti na akina Wema Sepetu... Naonaga Mange anavyowafukua mpaka unashangaa!

Huyo mama si kunakipindi Mange kimambi alitoa maelezo kwamba anatembeza sana kwa vijana wadogo au nimemchanganya?
 
Huyo mama si kunakipindi Mange kimambi alitoa maelezo kwamba anatembeza sana kwa vijana wadogo au nimemchanganya?
Mimi ni shabiki wa Mange ila sio kila kitu anachosema naamini, aliamua kumtukana bila ushahidi wowote kisa tu walikorofishana na mtoto wa Ritha.
 
Wengine ni wamama na heshima zao tena wana pesa za kutosha wanavaa ina maana nao wanatangaza hiyo biashara?
 
Kwahiyi ww ulimsikiliza mama alivyokwambia ubaya wa kuvaa vikuku tu?...hakukukataza kufanya tendo la ndoa kabla hujaolewa?
hajanikataza,kasema kuna vitu hawezi nipa,hawezi kuvicntrol nivifanye kwa akili ,vikitambulika ni Matusi.

kwahivo siwezi kuvaa nembo mguuni mwangu ,urembo upo mwingi sio kitu ambacho kina maana za hovyo.. [emoji4]
 
Alikwambia fresh tu mtu akiomba mpe kwa siri?![emoji2]
 
Ni heri nivae vikuku kuliko kutoboa masikio zaidi ya mara moja na kutoboa pua.

Mtoa mada si kweli hicho usemacho hizo ni imani tu ya baadhi ya watu.

[emoji122] [emoji122] Kweli kabisa my na sio wote wanaovaa wana maana sawa.
 
Kama kuna ka ukweli hivi[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Kaka hata wewee? Hakuna ukweli bana. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
hajanikataza,kasema kuna vitu hawezi nipa,hawezi kuvicntrol nivifanye kwa akili ,vikitambulika ni Matusi.

kwahivo siwezi kuvaa nembo mguuni mwangu ,urembo upo mwingi sio kitu ambacho kina maana za hovyo.. [emoji4]
Et jamani yaani watu wanapenda kujishushia heshima ktk Jamii kwa kuiga vitu vya kijinga mm siwez vaa aisee hata ingekuwa na tafsir nzur yaani cjui navionaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…