Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,878
Utakatifu autolee wapi?Kwahiyo mange kimambi ndio mtakatifu sana?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakatifu autolee wapi?Kwahiyo mange kimambi ndio mtakatifu sana?!
Ohooooo!!!Kumbe ndio vinamaanisha hivyo.mimi sivipendi[emoji23] baadhi ya watu nnaowafahamu wanavaaga najaribu kuwaelekeza wanasema ni urembo tu hakuna lolote.
Ila kuvaa kikuku ni nembo ya umalaya, mguu wa kushoto nyuma ,wa kulia mbele...
akivaa yote anauza pote[emoji23][emoji23].
Halafu zamani walikua wanavaa walioolewa ambao mumewe jogoo hasimami ,kwahiyo akivaa anamaanisha mumewe hawezi kitu yuko tayari kwa mpango wa kando na Bwana karuhusu( mama ndivyo alivosema )
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahaha! Umenena mkuu!!! Ishu ni kuiga... Ata kama wengine wanatumia kiurembo tu, ili mradi sio utamaduni wako basi utatafsiriwa tofauti tu...Hizo tamaduni nyingine za kuiga sio nzuri.
Tuache kuiga tamaduni za watu
Mmasai mwanaume anavaa shanga mpaka kiunoni lakini akivaa Mkurya mtamwita ******[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ChakuraaVikuku ndo nini?
![]()
![]()
![]()
![]()
Huyo mama si kunakipindi Mange kimambi alitoa maelezo kwamba anatembeza sana kwa vijana wadogo au nimemchanganya?Nimekumbuka mwanamama Ritha Mlaki alikua anapenda sana kuvaa vikuku enzi hizo mbunge, kuna baadhi ya wamama ni wastaarabu na wanavaa.
Hapana!!! Mie mama atakaevaa kikuku namtoa kwenye ustaarabu! Hao wabunge wanauvaa tu ustaarabu kwa ajili ya nafasi wanazoshika ila ukienda nyumba ya pazia hawana tofauti na akina Wema Sepetu... Naonaga Mange anavyowafukua mpaka unashangaa!
Huyo mama si kunakipindi Mange kimambi alitoa maelezo kwamba anatembeza sana kwa vijana wadogo au nimemchanganya?
Mimi ni shabiki wa Mange ila sio kila kitu anachosema naamini, aliamua kumtukana bila ushahidi wowote kisa tu walikorofishana na mtoto wa Ritha.Huyo mama si kunakipindi Mange kimambi alitoa maelezo kwamba anatembeza sana kwa vijana wadogo au nimemchanganya?
Wengine ni wamama na heshima zao tena wana pesa za kutosha wanavaa ina maana nao wanatangaza hiyo biashara?mimi sivipendi[emoji23] baadhi ya watu nnaowafahamu wanavaaga najaribu kuwaelekeza wanasema ni urembo tu hakuna lolote.
Ila kuvaa kikuku ni nembo ya umalaya, mguu wa kushoto nyuma ,wa kulia mbele...
akivaa yote anauza pote[emoji23][emoji23].
Halafu zamani walikua wanavaa walioolewa ambao mumewe jogoo hasimami ,kwahiyo akivaa anamaanisha mumewe hawezi kitu yuko tayari kwa mpango wa kando na Bwana karuhusu( mama ndivyo alivosema )
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ok nimekupata.Mimi ni shabiki wa Mange ila sio kila kitu anachosema naamini, aliamua kumtukana bila ushahidi wowote kisa tu walikorofishana na mtoto wa Ritha.
Mkuu kutoboa masikio matundu mengi nako kunamaanisha nini?Ni heri nivae vikuku kuliko kutoboa masikio zaidi ya mara moja na kutoboa pua.
Mtoa mada si kweli hicho usemacho hizo ni imani tu ya baadhi ya watu.
hajanikataza,kasema kuna vitu hawezi nipa,hawezi kuvicntrol nivifanye kwa akili ,vikitambulika ni Matusi.Kwahiyi ww ulimsikiliza mama alivyokwambia ubaya wa kuvaa vikuku tu?...hakukukataza kufanya tendo la ndoa kabla hujaolewa?
Wewe tuuuuu..Wanaume hatuwezi vaa hivi kwenye vyumbu?
Alikwambia fresh tu mtu akiomba mpe kwa siri?![emoji2]hajanikataza,kasema kuna vitu hawezi nipa,hawezi kuvicntrol nivifanye kwa akili ,vikitambulika ni Matusi.
kwahivo siwezi kuvaa nembo mguuni mwangu ,urembo upo mwingi sio kitu ambacho kina maana za hovyo.. [emoji4]
Ni heri nivae vikuku kuliko kutoboa masikio zaidi ya mara moja na kutoboa pua.
Mtoa mada si kweli hicho usemacho hizo ni imani tu ya baadhi ya watu.
[emoji23]umbea tu umekujaa[emoji23][emoji23]Alikwambia fresh tu mtu akiomba mpe kwa siri?![emoji2]
Kaka hata wewee? Hakuna ukweli bana. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kama kuna ka ukweli hivi[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Kwani mkuu unavosema wana pesa za kutosha unajua chanzo upatikanaji wake?? Lisemwalo lipoWengine ni wamama na heshima zao tena wana pesa za kutosha wanavaa ina maana nao wanatangaza hiyo biashara?
Et jamani yaani watu wanapenda kujishushia heshima ktk Jamii kwa kuiga vitu vya kijinga mm siwez vaa aisee hata ingekuwa na tafsir nzur yaani cjui navionajehajanikataza,kasema kuna vitu hawezi nipa,hawezi kuvicntrol nivifanye kwa akili ,vikitambulika ni Matusi.
kwahivo siwezi kuvaa nembo mguuni mwangu ,urembo upo mwingi sio kitu ambacho kina maana za hovyo.. [emoji4]