Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

vaaa tu hamna shida
Hivyo vidude ni urembo tu,kwa maana kama laiti ingekuwa ni kweli wanayonena watu basi tungesema hata wamasai wanaume wote ndio hivyo kwa maana wote wanavaa shanga.[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ayaa, sidai na lei? Sidai tukulu? unamwelemwele?
Nawaheshimu Maasai wote hapa nilitolea kama mfano tu.
 
Siku ya mwisho natamani sana kuwe na litivii likubwa tuone hawa watu wanaoaminika ni wema .,.
mimi sinahaja ya kufahamu ni wema au wabaya.
ila kuna kitu kinaitwa STARA,HAIBA YA KIKE
hata ukiwa malaya kiasi gani ukiwa na stara,haiba hakuna atakae kudharau kiivyo.
lakini unakua malaya,unavaa mavikuku,mapete kibao matiti yako wazi mapaja nje hivi unadhani nani atakuheshimu?
kuna watu wanauza lakini wako very smart wana haiba ya kike/Stara

kikuku huwezi kumkuta mtu mwenye stara amekivaa hata siku moja
 
Hivyo vidude ni urembo tu,kwa maana kama laiti ingekuwa ni kweli wanayonena watu basi tungesema hata wamasai wanaume wote ndio hivyo kwa maana wote wanavaa shanga.[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ayaa, sidai na lei? Sidai tukulu? unamwelemwele?
Nawaheshimu Maasai wote hapa nilitolea kama mfano tu.
Si ndio maajabu hayo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;

Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.

Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Acha mambo ya kitoto Pimbi ww,kati ya Ccm na Upinzani,ni upande upi unaotumia matuc kuingia mjengo mweupe?
Unakumbuka Ben aliposema "wanaotaka mabadiliko wote ni wapumbavu," unakumbuka matuc aliyotukanwa Lowassa kwenye kampeni za 2015?
Tufanye siasa lkn tukumbuke na utu/ubinadamu
Ili nizomew mtaa mzima?
 
Kama unaheshimu mwanamke kwanini useme kitendo cha kuvaa kikuku mtu uanze fukuziwa na wapenda choo. Hiyo ni heshima??
Nimekutahazalisha sikuwa namtukana mwanamke,Kwangu sahau kutukana mwanamke maishani mwangu Dada.Nimeona waliovunjiwa heshima ndio maana nikatoa tahazali kwa wanawake wanaojiheshimu kama weee uko mmoja wao
 
mimi sinahaja ya kufahamu ni wema au wabaya.
ila kuna kitu kinaitwa STARA,HAIBA YA KIKE
hata ukiwa malaya kiasi gani ukiwa na stara,haiba hakuna atakae kudharau kiivyo.
lakini unakua malaya,unavaa mavikuku,mapete kibao matiti yako wazi mapaja nje hivi unadhani nani atakuheshimu?
kuna watu wanauza lakini wako very smart wana haiba ya kike/Stara

kikuku huwezi kumkuta mtu mwenye stara amekivaa hata siku moja
Wow... Nimekupenda tayari mwenzio..
 
Acha mambo ya kitoto Pimbi ww,kati ya Ccm na Upinzani,ni upande upi unaotumia matuc kuingia mjengo mweupe?
Unakumbuka Ben aliposema "wanaotaka mabadiliko wote ni wapumbavu," unakumbuka matuc aliyotukanwa Lowassa kwenye kampeni za 2015?
Tufanye siasa lkn tukumbuke na utu/ubinadamu
Jamani wadau sehemu hii,mekuja hapa kimakosa!
 
Mkuu ulivyotaja kwa kebehi, miguu myembamba kwamba ni spoku za pikipiki, nimeona haujawahi kukumbana nayo hiyo miguu ya kwale kwenye anga zako.
Hata mimi zamani nilidharau sana kiumbe anayemiliki miguu kabila hiyo.
Lakini nilipowafanyia 'utafiti' wangu wa kina, nikwambie wengi waliniliza kwa furaha na heshima ikapanda juu yao.
Sijawahi tena kuleta dharau zangu.
Sasa bado wewe, ukija kutafiti, utakujanitag.
aaghhhhh miguu myembamba ni miguu myembamba tu mkuu ...acha kuwapaka rangi kiasi hicho ...hamna kitu hapo ...
 
Back
Top Bottom