Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Me bado 'mhafidhina' kidogo kwa wanaojichora ndanindani sana ambao hadi ufikie 'stage' ya3 kumvua ndiyo uione!Mimi zamani nilikuwa nikimuona mwanamke kachota tattoo namuona muhuni. Siku hizi msimamo wangu umebadilika kidogo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nabaki nikijiuliza, hivi huyo mchoraji ni wa jinsi gani?
Saazingine tatoo za majina, unapomvua unakutana na jina la kiume limepachikwa karibu na sahani!
Hunipotezea 'mudi' ya mchezo na kuanza kutumia nguvu na maujanja mengi kwa kugeuza hiyo mechi kuwa ligi, ili huyo 'hasimu' aliyepewa sifa na heshima kwa kubandikwa jina lake nimzidi magoli na tukitoka sare basi nimzidi kwa point.
Hilo la kwanza, la pili ni mawazo juu ya huyo msanii mchoraji, ingawa analipwa, je alilipwa ujira gani, je wakati anafanya hiyo kazi maeneo hayo, mate yake ya ugwadu alikuwa anayameza au kulikuwa na chombo kaweka anayatemea, au alikaakaaje?
Kwa hiyo bado mie ninamsimamo wako wa zamani.
Sent using Jamii Forums mobile app