afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
kwani wasiovaa na wanatoa wako kundi gani, mtazamo wako ndio unakufanya uamini hivyo..hakuna formula..tabia ya mtu ni tabia tu haina kikukuu wala kijogoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha hatariiMm napenda mwanamke akivaa hizo mambo sana
Takbiiiiirmbona hawa dini B wanavaa sana vikuku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona hawa dini B wanavaa sana vikuku
kuna mmoja alikuwa jirani yangu tena dini haswa alikuwa ameolewa ila chakushamgaza kila siku anavaa vya kila rangi mara Silver, Gold n.k tena hajifichi..Takbiiiiir
Ndo ugonjwa wangu huoMh..watu na maneno kha..napenda kuvaa hatari..jitafsirishe utakavyo utajua mwenyewe
Hapo kwny live it,love it umeua hahah.kuna mmoja alikuwa jirani yangu tena dini haswa alikuwa ameolewa ila chakushamgaza kila siku anavaa vya kila rangi mara Silver, Gold n.k tena hajifichi..
Mwisho wa siku nilichukulia kawaida ila nikajua tu kuwa Live it, Love it inahusika.
Vipi alimlaa?...Me huitaga hanjam, kuna siku nlkua na mshikaji wangu kwenye daladala kuna mtoto mmoja mkali afu dizani km wa mbezini ushuani aliinama kama anaokota kitu kwenye daladala asee kiunoni anamzigo wa shanga hizo afu alivyokua na nyama basi shanga zimemkaa, kulikua na njema nyingine 4 nyuma zote zlishutuka kuona ule mzgo jamaa wangu akawa km kachanganyikiwa ananiambia akishuka nashuka nae popote pale.
Hivi vitu vina raha yake jamani kama chachandu ya mbililimbi vile inaongeza radha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani maana hakunipa mrejesho ila siku hiyo alishuka nae kweli akapata na contact zake demu
VP best na ww unavaa ?kushoto ndo Tigo..kulia Airtel
vikuku kwa mila na desturi zetu...ni ishara ya umalaya tu hamna kingine
ndio maana hutakaa ukute mama mchungaji kavaa kikuku au wanawake wanaojitambua
Hebu tukuthibitisheMtu tu wa kawaida,sio mlokole wala sio mwenda ovyo tehe
Raha ya urembo inabidi uonwe na watu wengiLabda nivae ndani afu nikitoka nje nitoe[emoji23] [emoji23] waja wana mengi bora kuyaepuka
Me huwa mood inakata kabisa...Siwezi hata kumsemesha walahii kama amevaa kikukuu..Bora shangaSidhani maana hakunipa mrejesho ila siku hiyo alishuka nae kweli akapata na contact zake demu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo mambo ni tafsiri tu za watu kulingana na tamaduni ya anaevaa au anaetafsiri.Kumbeeee... mi napenda kuviangalia mdada akiwa nacho mguuni afu guu lenyewe liwe guu kweli sio spoku Za pikipiki.