Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BadoChai umekunywa?
Mamiii vipi kuna ukweli wowote kuhusu aliyosema mleta mada?Kumekucha
Halafu ukushaanza kuvaa kuacha huwezi.ukiacha unaona kama uko uchi hiviMm navaaa sana kama urembo mwenye kufikilia mabaya na mawazo yake atajua yeye na shetani wake
Yaan huwezi kabisa tena mm nimeshajizoelea kuvaa miguu yote miwiliHalafu ukushaanza kuvaa kuacha huwezi.ukiacha unaona kama uko uchi hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuhamu
EwaaaaaMm navaaa sana kama urembo mwenye kufikilia mabaya na mawazo yake atajua yeye na shetani wake
Mimi najitahidi kuacha kidogo huyu mlokole asijeniachaYaan huwezi kabisa tena mm nimeshajizoelea kuvaa miguu yote miwili
Mm navaaa sana kama urembo mwenye kufikilia mabaya na mawazo yake atajua yeye na shetani wake
Nilikua nakuwaza ujue hivi leo si ndio ijumaa ebu twende wozapEwaaaaa
Hahhahaha kama mlokole wako hataki jitahidi uache tu
AsanteeeeeeMimi sivai ila nikiona mtu kavaa naona ni urembo tuu, kama cheni, hereni nk..