Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

kwani wasiovaa na wanatoa wako kundi gani, mtazamo wako ndio unakufanya uamini hivyo..hakuna formula..tabia ya mtu ni tabia tu haina kikukuu wala kijogoo
 
kuna mmoja alikuwa jirani yangu tena dini haswa alikuwa ameolewa ila chakushamgaza kila siku anavaa vya kila rangi mara Silver, Gold n.k tena hajifichi..

Mwisho wa siku nilichukulia kawaida ila nikajua tu kuwa Live it, Love it inahusika.
Hapo kwny live it,love it umeua hahah.

Mtandao pendwa huo
 
Me huitaga hanjam, kuna siku nlkua na mshikaji wangu kwenye daladala kuna mtoto mmoja mkali afu dizani km wa mbezini ushuani aliinama kama anaokota kitu kwenye daladala asee kiunoni anamzigo wa shanga hizo afu alivyokua na nyama basi shanga zimemkaa, kulikua na njema nyingine 4 nyuma zote zlishutuka kuona ule mzgo jamaa wangu akawa km kachanganyikiwa ananiambia akishuka nashuka nae popote pale.

Hivi vitu vina raha yake jamani kama chachandu ya mbililimbi vile inaongeza radha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi alimlaa?...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbeeee... mi napenda kuviangalia mdada akiwa nacho mguuni afu guu lenyewe liwe guu kweli sio spoku Za pikipiki.
Mkuu hizo mambo ni tafsiri tu za watu kulingana na tamaduni ya anaevaa au anaetafsiri.
Mkuu mbele wanaume hawawezi kutembea wameshikana mikono hadharani kama huku bongo maana kwao alie upande wa kushoto punga.
Ila bongo kawaida tu.

Mfano mwingine mwanaume anaefunga kifundo shati kwa chini iwe mbele au nyuma ni punga. Lakini kibongo bongo zamani mhuni anafunga shati staili hiyo kuonesha fasheni mjanja au mtemi.

Hivyo ukimpenda mrembo anavaa hivyo tambaa nae tu kama kawaida.
 
Mimi zamani nilikuwa nikimuona mwanamke kachota tattoo namuona muhuni. Siku hizi msimamo wangu umebadilika kidogo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom