Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Sioni tatizo lolote kuhusu ili suala la uvaaji vikuku

Ni urembo kama urembo mwingine tu

Nadhani wewe ndo mwenye matatizo na dhana zako za kifala izo
 
Mamiii vipi kuna ukweli wowote kuhusu aliyosema mleta mada?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwa kweli hazard.

Ila kwenye jamii tunayoishi when it comes to vikuku kila mtu anae tafsiri yake. Kuna wanaotafsiri kama uhuni na wanaona wapo sahihi na mtoa mada yupo huko, na kuna wanao tafsiri kama urembo nao wanaona wapo sahihi pia.
 
Biashara matangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…