Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Sioni tatizo lolote kuhusu ili suala la uvaaji vikuku

Ni urembo kama urembo mwingine tu

Nadhani wewe ndo mwenye matatizo na dhana zako za kifala izo
 
Mamiii vipi kuna ukweli wowote kuhusu aliyosema mleta mada?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwa kweli hazard.

Ila kwenye jamii tunayoishi when it comes to vikuku kila mtu anae tafsiri yake. Kuna wanaotafsiri kama uhuni na wanaona wapo sahihi na mtoa mada yupo huko, na kuna wanao tafsiri kama urembo nao wanaona wapo sahihi pia.
 
Hivi wanawake mbona mnajifanya hamuelewi Kwanini?mnajua kabisa 80% ya watu tunachukulia uvaaji wa vikuku na michezo ya ngono kinyume na maumbile na bado myie mnavaa.eti mnajitetea kwamba Ni urembo Kama urembo mwingine..Mimi nilitegemea mwanamke mwenye aibu hata kidogo asingevaa kabisa ili awe huru watu tusimfikirie kivingine.kama leo asubuhi nimekutana na mdada kapakiwa kwenye bodaboda kavaa lidera bila chupi chura linanesa nesa mguuni ana vikuku viwili.me Moja Moja ubongoni nikaanza kuhisi atakuwa ametoka guest na bila shaka kagawa m@vi usiku kucha.kwa hiyo wakuu Kama una mwanamke na anavaa vikuu jua anaijua michezo ya kufi[emoji2400]@na,Kama sio wewe Basi Kuna mwenzako anamtoboa jicho bila huruma
Biashara matangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapcha2.. Il kuimarsha uzi
tapatalk_1552574183102.jpeg


°•°Faith •Hope •Charity•°•
 
Back
Top Bottom