Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Mungu kakufundisha through hard way. Acheni ku generalize mambo.
Kila siku unaona watu waliovaa vikuku ni malaya (madada na wadogo wa wenzako) na hukujali uliamua kuwaona hivyo na ku conclude, sasa umemuona mdogo wako unataka ushauri wetu ili ubadili msimamo sio? Endelea kuona hivyo hivyo na umuweke mdogo wako kwenye kundi hilo hilo.