Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hesabu 31:50

Basi, tumeleta vyombo vya dhahabu, vikuku, bangili, pete za mhuri, vipuli na shanga ambavyo kila mtu alipata. Tumevitoa ili nafsi zetu zifanyiwe upatanisho mbele ya Mwenyezi-Mungu.”
Hizi shanga zinazozungumziwa hapa lazma zitakua ni zile za kiunoni.
 
Hizi shanga zinazozungumziwa hapa lazma zitakua ni zile za kiunoni.
Ukisoma same verse in International Standard Version bible:
Numbers 31:50 inasema;
We've brought offerings to the LORD from whatever each man found—jewel-encrusted gold, ANKLETS, bracelets, signet rings, earrings, and necklaces—to make atonement for ourselves in the LORD's presence."

The word anklets there actually means 'ankle bracelets'.
 
Kama upo kwenye mahusiano na zaidi ya mtu mmoja, upo kwa kundi la jamii ya Malaya. Hata uvae namna gani.
 
Hii kitu Wanawake wa kihindi wanavaa toka kitambo na ni moja ya tamaduni zao,

Kwa wanawake wa Kibongo inaweza kua ni urembo tu na wala haihusiani na umalaya,umalaya ni tabia na tabia haihitaji kua na alama bali hua ndani ya nafsi ya muhusika.
Kweli, sababu kuna Malaya wengi tu duniani na sio wote wavaao hayo madude!
✌️
 
Ukisoma same verse in International Standard Version bible:
Numbers 31:50 inasema;
We've brought offerings to the LORD from whatever each man found—jewel-encrusted gold, ANKLETS, bracelets, signet rings, earrings, and necklaces—to make atonement for ourselves in the LORD's presence."

The word anklets there actually means 'ankle bracelets'.
Wayahudi walivipigilia sana hivi vyombo, ni vile tu sahi yamekuwa modernised sana ndo maana hata maana yake ikabadilika na kuonekana kuwa ni wauza K na T ndio wavaao hayo mavituz! 🤣
✌️
 
Hii kitu Wanawake wa kihindi wanavaa toka kitambo na ni moja ya tamaduni zao,

Kwa wanawake wa Kibongo inaweza kua ni urembo tu na wala haihusiani na umalaya,umalaya ni tabia na tabia haihitaji kua na alama bali hua ndani ya nafsi ya muhusika.
Hata wanaume wa kimasai wanavaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wengine wakivaa wanapendeza ila kuna ambao wakivaa ukiwaona utadhani punda kakata kamba aliyokuwa kafungwa nayo 😊
Kwanzo upate totoz lina guu kama hilo 👇Duh basi humtoa vizuri aisee! 🤣
✌️
 
Attachments

  • Screenshot_20210325_095920.jpg
    Screenshot_20210325_095920.jpg
    15.1 KB · Views: 16
Back
Top Bottom