Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hii kitu Wanawake wa kihindi wanavaa toka kitambo na ni moja ya tamaduni zao,

Kwa wanawake wa Kibongo inaweza kua ni urembo tu na wala haihusiani na umalaya,umalaya ni tabia na tabia haihitaji kua na alama bali hua ndani ya nafsi ya muhusika.
 
Mkuu hayo ni mapambo ya wanawake waache wenyewe, we mme jadili kuhusu kata K, kuvaa visuruali vya kubana, kupenda umbea n.k. Tuna changamoto kibao sisi mabeberu
 
Upo sawa. Hii mitazamo huwa inatokana na idadi kubwa ya wavaaji hivyo vidude kuwa na tabia zisizofaa.

Ni sawa na ww mwanaume rijali ukavaa bukta ya pinki na kishati chekundu, mtazamo wa watu utabadilika.
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom