Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mkuu jifunze kuwa na hekima, humu ndani kuna 'baba' zako na 'mama' zako pia.
Mkuu,Ni neno Malaya ndio tatizo?Haya naliondoa,Point ya msingi ni hii,Kuvaa au kutokuvaa hivo hakumfanyi mtu awe au asiwe Malaya.Umalaya ni inert character ambayo inaweza kuibuka katika mazingira tofauti na namna tofauti tu.
 
Vipi na sisi wamasai, na pia wanawake zetu tunavaaga shanga miguuni, unatuitaje???
 
Hii kitu Wanawake wa kihindi wanavaa toka kitambo na ni moja ya tamaduni zao,

Kwa wanawake wa Kibongo inaweza kua ni urembo tu na wala haihusiani na umalaya,umalaya ni tabia na tabia haihitaji kua na alama bali hua ndani ya nafsi ya muhusika.
Tena wahindi wanawavisha mpk wtt wadogo tu.

Na warabu pia wanavaa sana.

Kuna mavazi yao fulani wahindi au waarabu wakivaa na ma jewels yao laziim na vikuku viwemo
 
Huwa naowa wanawake wanaovaa vikuku kama wanakuwa na sifa flan mbaya.
First impression huwa ni muhuni malaya. Hata mke wangu hadhubutu kuvaa vikuku

Leo nimeenda home kwa wazee nimekuta mdogo wangu kavaa vikuku miguu yote miwili, nikamuuliza unavaa vikuku? Akajibu ndio. Bas nikashindwa kuendelea.

Naomben ushauri wakuu, nimwambie nin kumkanya maana nahisi si ishara nzuri kwa ustaarabu wetu na image yake
 
Back
Top Bottom