Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hilo la vikuku halina ukweli,wapo wasiovaa na huo mtandao wa robo shilingi wanatoa.......:car:
 

Acha kuwaka mwana JF! haya mambo yapo kwenye jamii yetu tunayoishi, huwezi kukataa! Na hao wanaume wanaovaa heleni nao wamo kwenye kundi hilo hilo
 
Semeni mtakavyo... vitavaliwa tu.Mtakalia Ohh robo shilingi..mara anacheza kotekote...so what?
Huwezi kuiwekea kidhibiti akili ya mtu kuwaza na kufikiria atakavyo.
 
Jumamosi ya juzi nilienda kumtembelea jamaa yangu mmoja nikakuta akiwa kwenye ugomvi makali na mkewe baada ya kugundua kuwa mkewe anavaa vikuku (cheni za miguuni) tena kwa siri. Jamaa alikuwa anahoji iweje mkewe avae vikuku wakati huwa vina portrain bad message kwa watu. Walisimamisha ugomvi baada ya mimi kufika.

Baadaye huyu ndugu alinitafuta kuhoji na kuomba ushauri kwa nini mkewe avae vikuku na tena kwa siri - Pale ambapo mumewe kaondoka kwenda kazini!

Nimeona nililete kwenu mnisaidie yafuatayo:
1. Uvaaji wa vikuku una madhara gani au unabeba message gani?
2. Ushauri possibly reasons za kwanini mkewe huyu ndugu huvaa vikuku kwa siri
3. Hatua gani achukue kwa mkewe kuhusiana na hili.

=============


 
Hapa bora kuwasubiri dada zetu hapa janvini ndomwatueleze!
 

Zantel
 
,nikimwuliza kwanin anavaa anasema ni urembo tu kwa wakinadada.

unataka hadi akuambie line yangu ya Tigo ipo bize? wewe kama hujui kosoma basi angalia tu hata picha
 
unataka hadi akuambie line yangu ya Tigo ipo bize? wewe kama hujui kosoma basi angalia tu hata picha

Aisee mbona unanitisha ndugu,hiyo ndio maana yake?
Hoi! hoi! hoi! Mh!
Embu wadada mnao vaa 2peni ukweli juu ya hilo mbona hata watoto wadogo wanavalishwa lakini inamaana nao Tigo zao ziko bize?
 
jamani muache ku suspect kila kitu.kuvaa kikuku ni urembo kama urembo wa hereni au baangili.mimi mwenyewe navaa na haina maana yoyote kwangu zaidi ya urembo.m.me jiamini na muamini mpenzi wako.ulimuuliza na yeye akakupa jibu,kwa nini hujaridhika?
 
Mkuu Indicator ya kushoto hiyo, inaonesha upo free kuOvertake ila kama ni Subscriber wa tiGO))
 
Hayo ni mambo ya TIGO
 
jamani muache ku suspect kila kitu.kuvaa kikuku ni urembo kama urembo wa hereni au baangili.mimi mwenyewe navaa na haina maana yoyote kwangu zaidi ya urembo.m.me jiamini na muamini mpenzi wako.ulimuuliza na yeye akakupa jibu,kwa nini hujaridhika?
Utakuwa hujui maana halisi ukivaa kushoto ni TIGO
 
jamani muache ku suspect kila kitu.kuvaa kikuku ni urembo kama urembo wa hereni au baangili.mimi mwenyewe navaa na haina maana yoyote kwangu zaidi ya urembo?

Kwani unachajiaga simu yako ile chaja ya kobe?
 
Utakuwa hujui maana halisi ukivaa kushoto ni TIGO
mmmh,sifikirii kwa kweli,kwani mimi huo mtandao situmii.ila kwangu mimi ni urembo.na ninapovaa hainijii akilini kama nichague mguu upi wa kuvaa,maybe zamani ilikuwa hivyo,lakini siku hizi sifikirii kama watu wanatafsiri hivyo.labda story za vijiweni hizo.maofisini watu wanavaa ni watu na heshima zao
 

kwani hivi kuvaa kikuku ni utamaduni wetu waafrika au 2naiga wazungu?
Na wao wazungu kwao kuvaa hivyo ina maana gani?
Tusije kuwa tunaiga tamaduni zao bila kujua maana zake,then sisi tukasema ni urembo tu,huo ndio wasiwasi wangu.
Maana lisemwalo lipo.
 
Aisee mbona unanitisha ndugu,hiyo ndio maana yake?
Hoi! hoi! hoi! Mh!
Embu wadada mnao vaa 2peni ukweli juu ya hilo mbona hata watoto wadogo wanavalishwa lakini inamaana nao Tigo zao ziko bize?

Sasa unatishwa nini wewe kama hujui kusoma alama wenzako wanasoma na wanapiga huo mtandao!!!
 
Mhh...mimi kwangu haya mageni....huwa nafikri watu wanavaa kwa ajili ya urembo tu!
 
Urembo tu ina maanawamasai nao wanatumua mtandao? wala usihofu siku hizi ni vitu vya kawaida ni sidhani kama tunaiga wazungu ni sisi wenyewe. embu niambie umewaona wazungu wangapi na hivyo vikuku? huu ni utamaduni wa kiafrika ila siku hizi kama una uwezo unachonga za gold. ila ilikuwa ni shanga zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…