Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uzushi na siku nyingine usilete upuuzi kama huu hapa.Kama imekutokea wewe usidhani kila anayevaa pambo hili ni mmoja wa hao wako waliokutokea.
Kwa faida yako na wengineo, huwezi kumsoma mtu kitabia kwa jinsi alivyojipamba. Udhaniaye ndiye basi utakuta siye and vice versa. Kuna wengine wana fikra mbaya au potofu na hawa wanaposikia "tetesi" basi hawakawii kuanza kusema ni "ushahidi".
Katika kila jamii hapakosekani watu wenye mitindo ya maisha iliyo nje ya kawaida.Watu kama hawa hawawezi kutofautishwa na wengine kwa maana ya mavazi au mapambo.Inapotokea wanaonekana nao wamejipamba kama " wengine" basi wenye akili finyu hurukia kutoa tafsiri ambazo hazipo kama mnavyosema hapa.Kwa taarifa yenu vikuku, vishaufu, hereni ( hata wanaume huvaa siku hizi) za masikio na hata sehemu nyingine za mwili ni pambo tu linaloweza kuvaliwa na mtu yeyote bila kutangaza chochote.
Hatuwezi kuacha kuvaa mapambo yetu ati kwa vile kuna watu wachache wasiojua, wanaeneza tetesi na uvumi.......
Habari tena wana JF wenzangu! Waswahili walisema elimu bahari huwezi yote kujua..!
Leo nataka kuwauliza tu akina dada na hata akina baba kama wewe unajua kuhusiana na hii kitu!
WAKINA DADA WANAOVAA CHENI MIGUUNI. unaweza kuta kavaa mguu mmoja au yote miwili wao wanaita (VIKUKU) huwa zina ashilia au kumanisha nini? Huku mtaani midume huwa tuna danganyana sana juu ya hii kitu Wengine husema ukimuona anazo pande zote huyo homosexual, Ebu tupeni ukweli wana dada au ni urembo tu kama heleni....?!
*Naomba kuwasilisha hoja*
Habari wana jamvi?
Mimi niko na demu wangu kwa miaka miwili sasa.
Hatuna tatizo la kimahusiano,ila kitu nataka mnisaidie ni maana halisi ya kuvaa kikuku miguuni.
Kwani tukiwa ktk mitoko flani flani huwa anapenda kuvaa,nikimwuliza kwanin anavaa anasema ni urembo tu kwa wakinadada.
Jibu hilo huwa haliniridhishi kwani nikiwauliza washikaji wanadai kuvaa kikuku mguu mmoja au miwili yote inamaana yake ambayo cyo nzuri ktk jamii iliyo staharabika.
Sasa wana jf wadada kwa wakaka naombeni ukweli wa hii kitu,ili nimpe ban huyu mtu wangu kuvaa hivyo vikuku au la.
Mbarikiwe wote.
Habari wana jamvi?
Mimi niko na demu wangu kwa miaka miwili sasa.
Hatuna tatizo la kimahusiano,ila kitu nataka mnisaidie ni maana halisi ya kuvaa kikuku miguuni.
Kwani tukiwa ktk mitoko flani flani huwa anapenda kuvaa,nikimwuliza kwanin anavaa anasema ni urembo tu kwa wakinadada,
jibu hilo huwa haliniridhishi kwani nikiwauliza washikaji wanadai kuvaa kikuku mguu mmoja au miwili yote inamaana yake ambayo cyo nzuri ktk jamii iliyo staharabika.
Sasa wana jf wadada kwa wakaka naombeni ukweli wa hii kitu,ili nimpe ban huyu mtu wangu kuvaa hivyo vikuku au la.
Mbarikiwe wote.
,nikimwuliza kwanin anavaa anasema ni urembo tu kwa wakinadada.
unataka hadi akuambie line yangu ya Tigo ipo bize? wewe kama hujui kosoma basi angalia tu hata picha
Hayo ni mambo ya TIGOHabari wana jamvi?
Mimi niko na demu wangu kwa miaka miwili sasa.
Hatuna tatizo la kimahusiano,ila kitu nataka mnisaidie ni maana halisi ya kuvaa kikuku miguuni.
Kwani tukiwa ktk mitoko flani flani huwa anapenda kuvaa,nikimwuliza kwanin anavaa anasema ni urembo tu kwa wakinadada,
jibu hilo huwa haliniridhishi kwani nikiwauliza washikaji wanadai kuvaa kikuku mguu mmoja au miwili yote inamaana yake ambayo cyo nzuri ktk jamii iliyo staharabika.
Sasa wana jf wadada kwa wakaka naombeni ukweli wa hii kitu,ili nimpe ban huyu mtu wangu kuvaa hivyo vikuku au la.
Mbarikiwe wote.
Utakuwa hujui maana halisi ukivaa kushoto ni TIGOjamani muache ku suspect kila kitu.kuvaa kikuku ni urembo kama urembo wa hereni au baangili.mimi mwenyewe navaa na haina maana yoyote kwangu zaidi ya urembo.m.me jiamini na muamini mpenzi wako.ulimuuliza na yeye akakupa jibu,kwa nini hujaridhika?
jamani muache ku suspect kila kitu.kuvaa kikuku ni urembo kama urembo wa hereni au baangili.mimi mwenyewe navaa na haina maana yoyote kwangu zaidi ya urembo?
mmmh,sifikirii kwa kweli,kwani mimi huo mtandao situmii.ila kwangu mimi ni urembo.na ninapovaa hainijii akilini kama nichague mguu upi wa kuvaa,maybe zamani ilikuwa hivyo,lakini siku hizi sifikirii kama watu wanatafsiri hivyo.labda story za vijiweni hizo.maofisini watu wanavaa ni watu na heshima zaoUtakuwa hujui maana halisi ukivaa kushoto ni TIGO
mmmh,sifikirii kwa kweli,kwani mimi huo mtandao situmii.ila kwangu mimi ni urembo.na ninapovaa hainijii akilini kama nichague mguu upi wa kuvaa,maybe zamani ilikuwa hivyo,lakini siku hizi sifikirii kama watu wanatafsiri hivyo.labda story za vijiweni hizo.maofisini watu wanavaa ni watu na heshima zao
Aisee mbona unanitisha ndugu,hiyo ndio maana yake?
Hoi! hoi! hoi! Mh!
Embu wadada mnao vaa 2peni ukweli juu ya hilo mbona hata watoto wadogo wanavalishwa lakini inamaana nao Tigo zao ziko bize?