Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Waziri+Mkuu

Pinda akiwa na Waziri Mkuu Msumbiji Bi Luisa Diogo akiwa na kikuku chake.
Aisee, kumbe na huyu mama nae tena!
 
''mambo ya pwani,guu la kushoto lavikwa cheni,dume zima shanga kiunoni''
 
Siku za nyuma nilikuwa nikisikia tafsiri mbalimbali ambazo kiukweli si
nzuri juu ya hii kitu inaitwa KIKUKU. Kinachonifanya niulize ni hiki,

Majira ya saa moja na nusu Juzi nimekutana na kina dada wawili ambao
walikuwa wameongozana huku wakiwa na kapu la vyombo mkononi
(Nahisi walikuwa wanatoka hospitali)
mmoja alikuwa amevaa kikuku(Ushanga, mkufu) mguu wa kushoto alikuwa
anaporomosha matusi mazito sana tena ya nguoni huku akiwa ameongozana
na mwenzake Namnukuu -

"Eti anataka nimpe....***** cha maumbile (Hapo nimepoza maana alitumia maneno makali sana)...
**** sana yule ... tena ms**** , kkk....***** ke**** (Matusi mazito)
Eti anasema kwanini yeye namnyima wengine nawapa. Mshenzi sana yule ye hajui kuwa hili ni
pambo tu kama mapambo mengine. Yaani kuvaa kikuku ndo aninanihiii (Tumepoza)
Sitaki hata kumuona na mpango wa ndoa na yeye ndo umekufa, hawa wanaume wa TANGA sitaki hata
kuwasikia maana nasikia hata baba Tamasha ndo mchezo wake kamuharibu mkewe hivi hivi"

Ndugu zangu mi naomba kujua kuhusu hiki kikuku Je ni pambo la kawaida
au ni kama tulivyokuwa tunasikia zamani kuwa... maana naona wanaovaa
siku hizi ni wengi sana, kitu ambacho akili inakataa kuwa wote hao
ni wanachama.



unahisi siku za mbele zitarekebisha matumizi mabaya ya siku za nyuma?
 
Back
Top Bottom