Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

kikuku kuna za shanga na cheni, kwetu kikuku cha shanga kinatumika kama shanga ukivaa rang flan inamaana yake na unavyofundishwa kaz ya shanga unafundwa na ya kikuku na bangili za shanga za mkononi... ila hizi za silver na gold sijui maana
 
Kuhusu eti sijui ukivaa unatuma sijui ujumbe gani ni Uongo na ni maneno mbofumbofu kama alivyoimba marehemu Mr Ebbo.

Hivi hawa waume za watu na wake za watu wanaopishana kutwa kwenye nyumba za kulala wageni wamevaa vikuku?

Kwa hiyo hakuna cha vikuku wala vibata ingekuwa hivyo wanawake wa kimasai sijui wangekuwaje.
Tatizo ni kuwa tunapenda sana kuiga. Vikuku vimekuwa vikivaliwa na makabila mbalimbali ulimwenguni kwa malengo tafauti, kwa nyakati tafauti.

Mara ya mwanzo ilipoletwa mada kama hii ikihusishwa vikuku na tiGo, nilikuwa mkali sana na tafsiri za watu, lakini leo nimeona bora niliangale zaidi na kuona kipengel hiki:

In the United States and other countries in the western world, ankle bracelets for women became popular only in the early twentieth century. Unlike Asian countries, earlier there was no specific ankle bracelets meaning attached to wearing the jewelry. Today there are different ankle bracelet explanations abounding. A common belief is that wearing the ankle on one side represents heterosexuality and wearing it on the other side represents homosexuality. Some people also believe that wearing an anklet is an indication that a person is available (this is generally a derogatory reference). All these ankle bracelets meanings are just contemporary beliefs that have no logical explanation to them.

Pamoja na yote hayo, nabakia na hii sentensi ya mwisho kuwa hakuna logic yoyote bali watu kutaka kuhalalisha wanayoyapenda.
 
Sitaki kupotosha ukweli hata kama wengine watachukia, GAZETI, Tafsiri ya Vikuku sijui kikuku ni kwamba mtu anafanya hayo mambo kinyume na maumbile ingawa watu wanaiga siku hizi. Yaani ni kama vile wachezaji
wa ulaya wanavyovaa zile gropes mikononi wakimaanisha kuwa wanafanya vile kwa ajili ya baridi lakini un akuta huku Afrika mtu kavaa wakati wa joto bila kujua nini maana yake.

Wapo wanaofahamu kuhusu hivyo vikuku na wapo ambao hawafahamu chochote wanaiga tu. Kwa watu wa mitaa kama Magomeni, Kinondoni, sinza n.k wengi wao wanafahamu na wanavaa kwa maana hiyo.
 
unahisi siku za mbele zitarekebisha matumizi mabaya ya siku za nyuma?
Kuna mambo yanabadilika PDIDY, kuna baadhi ya maneno ya siku za nyuma yalikuwa ya kawaida
lakini ukiyatamka sasa ni matusi.
 
Jambo ambalo linaweza lisieleweke ni kuwa huku mtaani watu wamechanganyika kuna ambao wanavaa kwa kuwa amemuona Jirani yake kavaa n.k lakini pia wapo wanaovaa kwa maana inayozungumzwa sana.

Kwa kijiweni (Nakusudia wakati nilipokuwa kijiwe cha ukahaba) Ilikuwa kwa mtu anayefanya vile lazima avae Kikuku ili aweze kutambulika kwa urahisi na wageni na hasa wanapokuja wateja wazungu ambao walikuwa wanaelewa haraka sana hicho Kikuku.

Wenzetu ambao walikuwa wanavaa Vikuku walikuwa wanapata Fedha nyingi sana kutokana na mchezo wao huo. Hata hivyo kuna mmoja (C.M) kutoka Iringa aliathirika vibaya kutokana na mchezo huo hali iliyosababisha kifo chake. Ilisikitisha sana kwani hata ndugu zake hatukuwafahamu na hivyo maiti nahisi ilizikwa na Jiji.

Mwisho lazima niweke wazi kuwa kwa watu wa maeeneo maeneo tafsiri ya kikuku ni hiyo inayozungumzwa na wengi.
 
heheheheee kikuku! haya mambo yaanza kuenea sana tanzania. kutoa penzi kwa njia ya makalio hakuna raha yeyote jamani, ni ulimbukeni tu.
 
heheheheee kikuku! haya mambo yaanza kuenea sana tanzania. kutoa penzi kwa njia ya makalio hakuna raha yeyote jamani, ni ulimbukeni tu.

Mfano hai..
 

Attachments

  • Kuku.jpg
    Kuku.jpg
    2.9 KB · Views: 199
Siku za nyuma nilikuwa nikisikia tafsiri mbalimbali ambazo kiukweli si
nzuri juu ya hii kitu inaitwa KIKUKU. Kinachonifanya niulize ni hiki,

Majira ya saa moja na nusu Juzi nimekutana na kina dada wawili ambao
walikuwa wameongozana huku wakiwa na kapu la vyombo mkononi
(Nahisi walikuwa wanatoka hospitali)
mmoja alikuwa amevaa kikuku(Ushanga, mkufu) mguu wa kushoto alikuwa
anaporomosha matusi mazito sana tena ya nguoni huku akiwa ameongozana
na mwenzake Namnukuu -

"Eti anataka nimpe....***** cha maumbile (Hapo nimepoza maana alitumia maneno makali sana)...
**** sana yule ... tena ms**** , kkk....***** ke**** (Matusi mazito)
Eti anasema kwanini yeye namnyima wengine nawapa. Mshenzi sana yule ye hajui kuwa hili ni
pambo tu kama mapambo mengine. Yaani kuvaa kikuku ndo aninanihiii (Tumepoza)
Sitaki hata kumuona na mpango wa ndoa na yeye ndo umekufa, hawa wanaume wa TANGA sitaki hata
kuwasikia maana nasikia hata baba Tamasha ndo mchezo wake kamuharibu mkewe hivi hivi"

Ndugu zangu mi naomba kujua kuhusu hiki kikuku Je ni pambo la kawaida
au ni kama tulivyokuwa tunasikia zamani kuwa... maana naona wanaovaa
siku hizi ni wengi sana, kitu ambacho akili inakataa kuwa wote hao
ni wanachama.


Nimeshindwa kuchangia kwavile umetumia mafumbo na alama za deshi deshi nyingi kiasi kwamba nimeshindwa kuelewa!
 
Ki-kuku.......=ki-nyume na maumbile???
Sjawahi kuwaza/sikia
kumbe ndo hivo?

WE! Achana na hiyo sentensi yako ya chini....delete it permanently kwenye kumbukumbu zako....haya mambo bana, unaweza cku ukakuta sister amevaa halafu ukaanza kufikiria "au nae ndo hivo!" kumbe mwenzio kwake ni kaurembo tu!
 
hakuna lolote ni urembo tu.
Hizo tafsiri ni enzi zile ila nowadays mambo yamebadilika sio 2 shingon, mkononi na sikion, siku iz kuna kiunoni, mguun ,kitovun had kwenye ulimi ivyo ni swaga tu havina uhusiano wowote na izo tafsiri lol.

Ni mabadiliko 2 yanayoendelea uku dunian bs. kama unavaa unajua mwenye unavaa kwa intension gan poa 2 binadamu waache waseme midomo mali yao.

Me navipenda kweli yan .
 
Binadam hupenda kukipa kila kitu tafsiri kwa kuwa tu hawajui ni kwanini au cha nini kwa kuwa tu hicho kitu ni kigeni kwao. Huu ni mfani halisi wa "kipofu aliyeona punda", kwa kuwa hakuna alichokiona zaidi ya punda, basi kila umwambiacho yeye anakifananisha na punda.

Hilo ni pambo kama mapambo mengine yeyote ya mwilini, iwe kwa mwanamke iwe kwa mwanamme iwe kwa kabila fulani au nyingine. Mapambo ya mwilini huenda na kubadilika "designs" kutokana na ubunifu wa wakati huo. Nna uhakika kuwa haina maana yoyote zaidi ya kuwa ni mapambo tu.

Bara la Asia hayo ni mapambo ya kawaida sana toka enzi na enzi, bara la Afrika baadhi ya makabila yanajipamba hivyo toka enzi na enzi, tofauti ni "materials" tu, wengine hutumia vya dhahabu, wengine vya ushanga, wengine vya fedha. Na kla mmoja na "design" na ubunifu wake.

Kumbuka hata nguo unazovaa wewe kwa wengine ni ajabu mpaka leo na kwa wengine mpaka leo mila na desturi zao haziruhusu wavae nguo kama wavaavyo wengine.

Hilo ni pambo tu kama mapambo mengine na linavaliwa kwa karne nyingi zilizopita.
 
mm pia naunga mkono hoja ya Da Faiza, ni pambo tu, wanawake hatuishiwi na mapambo, tusipotoshe maana. Wanovaa pete vidole vya shahada au gumba au miguuni pia nao waambiwa wasagaji. Vipini navo pia vyatafutiwa maana, ilimradi watu wapo kwnye kuwaza uhuni tu. Tuacheni tujipambe tuwezavyo eeh.
 
Back
Top Bottom