Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,255
Kwamba ukivaa mguu wa-Nami naomba kujua!
- kushoto= kiboga kiko bize
- kulia = unasaga
- yote miwili= combo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba ukivaa mguu wa-Nami naomba kujua!
uhusiano wa kikuku na kibogakujua nini?
nafupisha mambo kama ifuatavyo; ahsante.
Haya wasalimie kigoma.
uhusiano wa kikuku na kiboga
niwaambie ushaoa?
Tatizo ni kuwa tunapenda sana kuiga. Vikuku vimekuwa vikivaliwa na makabila mbalimbali ulimwenguni kwa malengo tafauti, kwa nyakati tafauti.Kuhusu eti sijui ukivaa unatuma sijui ujumbe gani ni Uongo na ni maneno mbofumbofu kama alivyoimba marehemu Mr Ebbo.
Hivi hawa waume za watu na wake za watu wanaopishana kutwa kwenye nyumba za kulala wageni wamevaa vikuku?
Kwa hiyo hakuna cha vikuku wala vibata ingekuwa hivyo wanawake wa kimasai sijui wangekuwaje.
Kuna mambo yanabadilika PDIDY, kuna baadhi ya maneno ya siku za nyuma yalikuwa ya kawaidaunahisi siku za mbele zitarekebisha matumizi mabaya ya siku za nyuma?
heheheheee kikuku! haya mambo yaanza kuenea sana tanzania. kutoa penzi kwa njia ya makalio hakuna raha yeyote jamani, ni ulimbukeni tu.
Siku za nyuma nilikuwa nikisikia tafsiri mbalimbali ambazo kiukweli si
nzuri juu ya hii kitu inaitwa KIKUKU. Kinachonifanya niulize ni hiki,
Majira ya saa moja na nusu Juzi nimekutana na kina dada wawili ambao
walikuwa wameongozana huku wakiwa na kapu la vyombo mkononi
(Nahisi walikuwa wanatoka hospitali)
mmoja alikuwa amevaa kikuku(Ushanga, mkufu) mguu wa kushoto alikuwa
anaporomosha matusi mazito sana tena ya nguoni huku akiwa ameongozana
na mwenzake Namnukuu -
"Eti anataka nimpe....***** cha maumbile (Hapo nimepoza maana alitumia maneno makali sana)...
**** sana yule ... tena ms**** , kkk....***** ke**** (Matusi mazito)
Eti anasema kwanini yeye namnyima wengine nawapa. Mshenzi sana yule ye hajui kuwa hili ni
pambo tu kama mapambo mengine. Yaani kuvaa kikuku ndo aninanihiii (Tumepoza)
Sitaki hata kumuona na mpango wa ndoa na yeye ndo umekufa, hawa wanaume wa TANGA sitaki hata
kuwasikia maana nasikia hata baba Tamasha ndo mchezo wake kamuharibu mkewe hivi hivi"
Ndugu zangu mi naomba kujua kuhusu hiki kikuku Je ni pambo la kawaida
au ni kama tulivyokuwa tunasikia zamani kuwa... maana naona wanaovaa
siku hizi ni wengi sana, kitu ambacho akili inakataa kuwa wote hao
ni wanachama.
Ki-kuku.......=ki-nyume na maumbile???
Sjawahi kuwaza/sikia
kumbe ndo hivo?