Kuna jirani yangu amemvisha shanga mwanae ana umri kama wa miaka miwili na nusu leo nitaenda kumwambia asimzoeshe mwae shanga nilikuwa sijui kama shanga zina madhara!
Boss kwani asipojifunua nani atajua kama kavaa au la?
Mimi sioni tatizo kama hazionekani kwa nje, ila kama mtu ananing'iniza kila mtu aone hapo sio sawa.
Kuna jirani yangu amemvisha shanga mwanae ana umri kama wa miaka miwili na nusu leo nitaenda kumwambia asimzoeshe mwae shanga nilikuwa sijui kama shanga zina madhara!
Sio wote wanahusisha urembo na ngono.
African folklore attributes the wearing of waist beads to the definition of the waist, meaning that it helped a female to hold their figure or shape.
The biggest misconception I constantly hear about wearing waist beads is that you have to be a size 0 with a flat stomach. Which is the farthest from the truth. Women of all ages and sizes wear waist beads!
The History:
Traditionally worn under clothes by African women, waist beads have several different meanings. Ranging from rites of passage, to enticing your husband to healing and rejuvenation. The art of adorning ones self has been practiced since the beginning of time. In Egypt, waist beads were called girdles. All the women wore them and it was a uniform for pre-pubescent girls with out any sexual connotation. But usually servants or dancers wore them and are shown in wall relief's wearing them and nothing else!
In West Africa, waist beads have several names.; Jel-Jelli, Jigeda, Giri-Giri, Djalay Djalay or Yomba. They re always worn under clothes. In Ghana women knew that waist beads helped form their body into a particular shape and adult women wear beads to sexually stimulate the male. In other parts of West Africa, women would wear waist beads with bells on them, and when they walked it would make a jingling noise. Dipping them in oil scented the beads.
mazingira ya shule
kuna fimbo,
mchakamchaka na mengineyo
na walimu mafataki...
si busara kuwavalia shanga just in case wakiziona.....
Kosa liko wapi, si kavaa tu shangaa.
Lizzy hapo umenena. mbona watu wanashupalia kuvaa shanga kama uhuni? mbona watoto wachanga wanavalishwa kama mila kukinga ndoto mbaya? Huyu jamaa inaonekana akiona shanga basi mate yanamtooka.
Wapi huko mkuu? Dodoma nini?? Reaction ya abiria wengine ilikuwa vp???Leo nimekutana na jambo ambalo sikulitegea kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu, Central sekondari kukatikiwa na shanga lundo kubwa akiwa kwenye daladala akienda shule asubuhi! Hii ilitokea baada ya gari kujaa kupita kiasi na huyo mtoto alisimama katika harakati za kupishana ili wengingine washuke na kupanda, watu wakaona shanga zinamwagika kutoka kiunoni mwa huyo mtoto, japo yeye hakuonyesha kushituka sana! Sasa wanajamii tunaelekea wapi? Form three kwenda na mashanga shuleni, huyu mtoto anatafuta nini lakini? Akina mama tujenge tabia ya kuongea na watoto wetu!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna jirani yangu amemvisha shanga mwanae ana umri kama wa miaka miwili na nusu leo nitaenda kumwambia asimzoeshe mwae shanga nilikuwa sijui kama shanga zina madhara!
Hata mimi nilitaka kujua hii shule ipo wapi nitafute nauli ya dala dala niende kuwakagua wote kama wanashangaHiyo shule ya central ipo wapi? kama ni ile ya dodoma sitaona ajabu maana wenyeji wa mkoa wa dodoma shanga wao ni kitu tofauti na sio kama mnavyofikiria, ila hiyo central kama ipo Tanga hizo shanga zinaweza kuwa na walakini.