arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
Just look at it as mapambo tu....
Ndiyo yavaliwe kwa siri?
ni mapambo tu jamani,hata mimi navaa,na huo mtandao situmii,ukiwa na guu la haja,ukiweka na kikuku chako,ukijiangalia kwenye kioo,unajiona umependeza,na huvai kwa kuhisi watu watatafsiri vibaya,unavaa kwa ajili yako wenyewe
Sign ya kwamba anatoa ndogo!!
Sasa kama anamkataza na bibie anataka, hata mie nitaivaa kisiri. Msianze kutafsiri visivyo
ni mapambo tu jamani,hata mimi navaa,na huo mtandao situmii,ukiwa na guu la haja,ukiweka na kikuku chako,ukijiangalia kwenye kioo,unajiona umependeza,na huvai kwa kuhisi watu watatafsiri vibaya,unavaa kwa ajili yako wenyewe
Mhh!!kumbe bangili za wamasai miguuni navyo ni vikuku,,
siri ya nini?kwa nini nifiche?wake kibao wanavaa,na wameruhusiwa na waume zao.huyo amevaa kwa siri,kwa sababu mume wake hapendi,angemruhusu angevaa tu.mambo mengine ni fikira potovu.Kama ni urembo kwa nini avae kwa siri? Au na wewe huwa unavaa kwa siri shemeji akiwa hayupo?