Just look at it as mapambo tu....
Si kila fashion tunaiga ila inayoongeza kupendeza kwangu navaa!
ni mapambo tu jamani,hata mimi navaa,na huo mtandao situmii,ukiwa na guu la haja,ukiweka na kikuku chako,ukijiangalia kwenye kioo,unajiona umependeza,na huvai kwa kuhisi watu watatafsiri vibaya,unavaa kwa ajili yako wenyewe
Kupendeza is very ambigous term dada, ni tafsiri ya macho tu. Nipitapo mitaani huwa nashangazwa sana na wadada wengi; utakuta kamechisha kuanzia kiatu, pochi, nguo, mdomo (lipstick) hadi nyusi na kope za macho kwa rangi ya bluu!
Biblia inasema ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo, ukijidhania umependeza itakuwa hivyo ingawa unaotaka tukuone twaweza kukuona tofauti!
Sometimes its too much.
Sign ya kwamba anatoa ndogo!!
Unauhakika!!!??? kwahiyo wamasai/wasonjo nao wanatoa ndogo??? wahindi nao wanatoa ndogo????
Kuvaa vikuku ni urembo tu hauna maana nyingine kama mfikiravyo ila wenye fikira mbovu huwa wanafikiria kama wewe!!
BINAFSI NINAVYAA VIKUKU NA HUWA SITOI NDOGO NAVYAA KAMA UREMBO HAYO MAWAZO YENU FINYU KUWA NI MTOA NDOGO SIO KWELI KWANI BINAFSI HUWA SITUMII HIYO NDOGO!!
Kupendeza is very ambigous term dada, ni tafsiri ya macho tu. Nipitapo mitaani huwa nashangazwa sana na wadada wengi; utakuta kamechisha kuanzia kiatu, pochi, nguo, mdomo (lipstick) hadi nyusi na kope za macho kwa rangi ya bluu!
Biblia inasema ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo, ukijidhania umependeza itakuwa hivyo ingawa unaotaka tukuone twaweza kukuona tofauti!
Sometimes its too much.
Je hii tabia ya dada zetu katika mavazi inalipeleka wapi taifa letu. Nini maoni yenu ingawa mimi nilishindwa kumueleza kwa suala hilo.
si usoni tu wakati wa kazi achape kazimbona zamani zilionekana wakati wote..??? NA UACHE KUCHUNGULIA VIUNO VYA AKINA DADA..! UWE UNAANGALIA USONI..!
Jamani Jana nimeona dada tunafanya naye kazi amevaa shanga nyingi sana ikiwa ni wakati wa kazi, Ilinitokea tukiwa tunajadili suala la kazi ofisini aliweza kuangusha kalamu yake na alipooiokota shanga zote zilitokea. Mimi kwa kuwa ni mwanaume mkamilifu MASHINE YANGU ilisimama kabisa na kutokwa na ute mdomoni.
Je hii tabia ya dada zetu katika mavazi inalipeleka wapi taifa letu. Nini maoni yenu ingawa mimi nilishindwa kumueleza kwa suala hilo.