Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Just look at it as mapambo tu....

Mapambo ni kwenu mabinti wa sasa, zamani kidogo ilibeba maana nyingine.
Na ndio maana si vizuri kudaka kila fasheni, jiulize na utafakari kabla ya kurukia fasheni.
 
Si kila fashion tunaiga ila inayoongeza kupendeza kwangu navaa!
 
Si kila fashion tunaiga ila inayoongeza kupendeza kwangu navaa!

Kupendeza is very ambigous term dada, ni tafsiri ya macho tu. Nipitapo mitaani huwa nashangazwa sana na wadada wengi; utakuta kamechisha kuanzia kiatu, pochi, nguo, mdomo (lipstick) hadi nyusi na kope za macho kwa rangi ya bluu!

Biblia inasema ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo, ukijidhania umependeza itakuwa hivyo ingawa unaotaka tukuone twaweza kukuona tofauti!
Sometimes its too much.
 
ni mapambo tu jamani,hata mimi navaa,na huo mtandao situmii,ukiwa na guu la haja,ukiweka na kikuku chako,ukijiangalia kwenye kioo,unajiona umependeza,na huvai kwa kuhisi watu watatafsiri vibaya,unavaa kwa ajili yako wenyewe

Asante sana Kisukari ,kumbe mpaka uwe na mguu wa haja.. afadhari umebainisha mapema
 
Kupendeza is very ambigous term dada, ni tafsiri ya macho tu. Nipitapo mitaani huwa nashangazwa sana na wadada wengi; utakuta kamechisha kuanzia kiatu, pochi, nguo, mdomo (lipstick) hadi nyusi na kope za macho kwa rangi ya bluu!

Biblia inasema ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo, ukijidhania umependeza itakuwa hivyo ingawa unaotaka tukuone twaweza kukuona tofauti!
Sometimes its too much.

Sasa hayo ni mapenzi ya mtu ajirundike vitu ndo aridhike au la! to me i can put on very few staff nikapendeza tu sipendelei kuweka mwilini mwangu vitu viiingi! navaa niridhike na nafsi yangu basi! nafsi yangu nikimaanisha kuwa nazingatia naenda wapi na naonana na nani kama mtu hatopendezewa baada ya hapo sijali mradi nafsi yangu kwanza imeridhika nimependeza! ni ngumu kufurahisha kila kiumbe dunia hii tunayoishi!
 
siamini hii sign mkuu....wanavaa wengi tuu kwa urembo tuu. ni imani potofu kwamba alivaa mtoa ndogo basi wote waliovaa wanatoa ndogo, hata huyo atoae ndogo alivaa tuu kwa urembo na sio sign ya kwamba anatoa ndogo. bad interpretation kutoka kwa watu wachache.

Sign ya kwamba anatoa ndogo!!
 
mie sipo. haya yanawahusu vijana wa hichi kizazi cha kenge
 
Maana yake ndio hiyo kwamba unaliwa kijicho a.k.a kidirisha. Kwenye urembo ni sawa kwamba inaweza ikawa inawaongezea urembo wanaohisi wao ambao mimi hata siuoni!!!. Lakini kama we mwanamke unajua kama tafsiri yake ni mbaya kwanini uvae!!!!, hata kama hufanyi huo mchezo!!.
 
Unauhakika!!!??? kwahiyo wamasai/wasonjo nao wanatoa ndogo??? wahindi nao wanatoa ndogo????

Kuvaa vikuku ni urembo tu hauna maana nyingine kama mfikiravyo ila wenye fikira mbovu huwa wanafikiria kama wewe!!

BINAFSI NINAVYAA VIKUKU NA HUWA SITOI NDOGO NAVYAA KAMA UREMBO HAYO MAWAZO YENU FINYU KUWA NI MTOA NDOGO SIO KWELI KWANI BINAFSI HUWA SITUMII HIYO NDOGO!!

Wamasai wanatoa Matigo maana wao huvaa makuku sio vikuku
 
Kupendeza is very ambigous term dada, ni tafsiri ya macho tu. Nipitapo mitaani huwa nashangazwa sana na wadada wengi; utakuta kamechisha kuanzia kiatu, pochi, nguo, mdomo (lipstick) hadi nyusi na kope za macho kwa rangi ya bluu!

Biblia inasema ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo, ukijidhania umependeza itakuwa hivyo ingawa unaotaka tukuone twaweza kukuona tofauti!
Sometimes its too much.

Hili nalo neno!
 
Jamani Jana nimeona dada tunafanya naye kazi amevaa shanga nyingi sana ikiwa ni wakati wa kazi, Ilinitokea tukiwa tunajadili suala la kazi ofisini aliweza kuangusha kalamu yake na alipooiokota shanga zote zilitokea. Mimi kwa kuwa ni mwanaume mkamilifu MASHINE YANGU ilisimama kabisa na kutokwa na ute mdomoni.

Je hii tabia ya dada zetu katika mavazi inalipeleka wapi taifa letu. Nini maoni yenu ingawa mimi nilishindwa kumueleza kwa suala hilo.
 
Je hii tabia ya dada zetu katika mavazi inalipeleka wapi taifa letu. Nini maoni yenu ingawa mimi nilishindwa kumueleza kwa suala hilo.

oooh.....puliiiiz....
ulianza vizuri hapo mwanzo.....sikutegemea utamalizia hivi.......crab....

Ulikumbuka hoja iliyokuwa inajadiliwa mkutanoni au ndio netiweki ilipotea kabisa...................................Ungeona chupi je.......
 
Unafanya Kazi wapi nilete Apilikesheni zangu za kuomba kazi. Baadhi yao wanaovaa Shanga huwa watamu sana.
 
kwa hiyo ukiona shanga tu,mkulu anasimama.mhh! Je ukiona bikini si utautupa kabisa.
 
Jamani Jana nimeona dada tunafanya naye kazi amevaa shanga nyingi sana ikiwa ni wakati wa kazi, Ilinitokea tukiwa tunajadili suala la kazi ofisini aliweza kuangusha kalamu yake na alipooiokota shanga zote zilitokea. Mimi kwa kuwa ni mwanaume mkamilifu MASHINE YANGU ilisimama kabisa na kutokwa na ute mdomoni.

Je hii tabia ya dada zetu katika mavazi inalipeleka wapi taifa letu. Nini maoni yenu ingawa mimi nilishindwa kumueleza kwa suala hilo.

Green--Mdada kainama (yani tuchukulie kainama fast kuokota kalamu lakini wewe macho yako yalikuwa fasta kukolekt data na kuzituma ubongoni hadi ubongo kutrigger hiyo response...For that to happen ni lazima ulikuwa unmeshaanza kumvua nguo mawazoni zamani, wala usisingizie shanga)
macho yako yalifuata nini kiunoni ilhali unajua ni lazima utaona vitu ambavyo si appropriate wewe kuona?
Red--Being a real man has nothing to do with your failure to control your body organs...
 
Back
Top Bottom