Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

pole sana zamani watu walikua hawavai hata kitu zaidi ya vibwaya
na kulikua hamna shida.
 
Huwezi kuwa mwanaume MKAMILIFU kaka.. Acha kutudanganya! Binadamu sote tumeridhi dhambi hivyo hatujakamilika..!!! Ungesema mwanaume rijali.!!! Halafu tumia mda wako vizuri unapokua kazini wengine tunafuatilia hizo kazi kwa msoto kwelikweli utafikri mali ya urithi bwana
 
kwa hiyo ukiona shanga tu,mkulu anasimama.mhh! Je ukiona bikini si utautupa kabisa.

Si unajua tena ukame nao tabu tu, Siku nipata mke labda sitakuwa na fast attraction. Lakini alipoinama kuokota pen wala sikuwa na wazo la kumuangalia lakini kwa kuwa alikuwa pembeni yangu macho hayana pazia
 
Ulikumbuka hoja iliyokuwa inajadiliwa mkutanoni au ndio netiweki ilipotea kabisa...................................Ungeona chupi je.......

Baadhi ya agenda zilinipita kabisa maana sijawahi ona shanga kiuoni na mchirizi ya kike.
 
Sasa kijana tukikupeleka kwetu Tanga ukawe mgeni rasmi kwenye Baikoko si utatoa ndoo nzima ya huo ute? manake kama ni shanga kule ni vazi la lazima ati!
 

wacha wavae shanga zao. wewe mchunguliaji ndo uulizwe wataka kupeleka wapi taifa letu?. alipoinama ungeona rib ya chupi, unge lalamika?. kwanini ujishughulishe kutazama mtu akiwa ameinama?.

ustaarabu ni huu,
unaweza elekeza macho yako kwa mtu akiwa ktk hali ya kawaida, unaona mtu ameinama , au ana jaribu kufikia kitu kilicho juu, acha kutazama movement za nguo au viungo vyake. wewe ndo unatabia mbaya. aidha unapoona sehemu ya siri ya mwanadamu na unafahamu hakudhamiria kukuonyesha, ni bahati mbaya, hutakiwi kusimulia na kulaumu, lakini wewe kupata msisimko hilo ni lako, pata msisimko mezea, siyo kulalama juu ya underwear za watu
 
kazi ipo, yaani unaona shanga tu mimacho inakutoka
 

Ki-uungwana, sidhani kama ni tabia njema kuonyesha shanga hadharani, maana ktk hali ya sasa hizo shanga hutumika faragha so hupewa heshima tu kama zile nguo zinazositiri viungo vya siri!
Ila kwa maelezo yako, ni kuwa dada wa watu alikuwa amejihifadhi vzr ila bahati mbaya baada ya kuinama ndiyo hali ikawa hivyo. Ni kawaida wakati wa kuinama wadada baadhi ya sehemu au nguo huonekana kutokana na aina ya nguo wanazofaa hivyo ni vzr wao wawe makini wanapoinama na pia hata wewe ujue kuwa hiyo ni hali inayoweza kutokea wakati wa kuinama kwa akina dada. Ondoa mawazo kwenye ngono, itakusaidia kuconcentrate na kazi ...

Nisingependa kumlaumu kwa kuvaa hizo shanga maana inawezekana alikuwa na appointment na mwandani wake mara baada ya kumaliza majukumu yake ya siku hiyo ...
 
Duh! Hizo shanga zikoje? Na zinavaliwa kwa ajili gani? Nasikiaga lakini sielewagi nisaidieni jamani.
 

kudindisha kisa SHANGA??????weweeee
 
Haswaaaaaa!
 
Yaani hiyo "binduki" isimame eti kwa kuona shanga!!!! Mbona haijakaa vizuri! Utaweza kumwogesha mwanao wa kike wewe kweki???
 
Pole aisee, naona alijisahau au hakuzibana vizuri na tait au chupi, unajua zile huwawezi kuwa wanavua na kuvaa, akishavaa ndo ntolee hadi zikatike
 
ha ha ha ha, kuna majibu hapa yanachekesha, mmeifanya siku yangu.
 
Ungekuwa kwetu yakhe yaani ungekuwa umebaka
Huu ni urembo wa asili toka enzi za mababu

Wapi huko. Niambie. Kwa kweli ziliniumiza sana. Ama kweli mwanamke akivaa hivi vitu ni adimu sana kwangu ndo maana nikatamani tu lakini mungu anisamehe kwa kutamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…