Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
kazi ipo, yaani unaona shanga tu mimacho inakutoka
hapana arifu hakutokwa na macho....alitokwa na ute mdomoni.....
BTW shoreee za towan bana arifu ni soo aisee hasa hizi shoree za banki zinajua kuvaa ni balaa kuna mitindo mipya naiona town mpaka nashangaa....nawapa big up lakini wanafanya kazi zinakwenda....