Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

kazi ipo, yaani unaona shanga tu mimacho inakutoka

hapana arifu hakutokwa na macho....alitokwa na ute mdomoni.....

BTW shoreee za towan bana arifu ni soo aisee hasa hizi shoree za banki zinajua kuvaa ni balaa kuna mitindo mipya naiona town mpaka nashangaa....nawapa big up lakini wanafanya kazi zinakwenda....
 
Jamani Jana nimeona dada tunafanya naye kazi amevaa shanga nyingi sana ikiwa ni wakati wa kazi, Ilinitokea tukiwa tunajadili suala la kazi ofisini aliweza kuangusha kalamu yake na alipooiokota shanga zote zilitokea. Mimi kwa kuwa ni mwanaume mkamilifu MASHINE YANGU ilisimama kabisa na kutokwa na ute mdomoni.

Je hii tabia ya dada zetu katika mavazi inalipeleka wapi taifa letu. Nini maoni yenu ingawa mimi nilishindwa kumueleza kwa suala hilo.

kwa hiyo ukiona wamasai hiyo sijui unayoita mashine itasimama au?
 
Jamani Jana nimeona dada tunafanya naye kazi amevaa shanga nyingi sana ikiwa ni wakati wa kazi, Ilinitokea tukiwa tunajadili suala la kazi ofisini aliweza kuangusha kalamu yake na alipooiokota shanga zote zilitokea. Mimi kwa kuwa ni mwanaume mkamilifu MASHINE YANGU ilisimama kabisa na kutokwa na ute mdomoni.

Je hii tabia ya dada zetu katika mavazi inalipeleka wapi taifa letu. Nini maoni yenu ingawa mimi nilishindwa kumueleza kwa suala hilo.
wanna brag?
source: Ashadii
 
Shanga za mtu tena kwenye kiuno chake zinakuhusu nini?
mijitu mingine sijui ya wapi???
arifu weye hizi shanga za mashoree uzione kwa mbaali unaona mgongo wake mweupeeeee afu anakuegemea egemea aiseee....
 
kijana kauliza SHANGA KIUNONI UKIWA OFISINI,jibu lake ni kama ifuatavyo

wazaramo na makabila mengi ya pwani huvaa wakati wote pambo hilo,ni wakati wote mahali popote hata kama kavaa dera zipo tu ndani

wengineo huvaa kwa ajili ya chachandu ya kimapenzi,ndio maana jina lingine kitaa wanaita chachandu!

so huyo wako kama sio mzaramo basi alikuwa na game jioni akitoka kazini,wengine huweka katik pochi muda wa kazi ukiisha wanaenda kuvaa washroom kwa ajili ya kwenda kupagaisha!

samahani wadada kama nimetoa siri zenu!
 
Aiseeh... Mie naona hata uvivu kuchangia maanake sahizi macho yangu ni mie na viuno tu ili na mie nizione.
 
Sasa kijana tukikupeleka kwetu Tanga ukawe mgeni rasmi kwenye Baikoko si utatoa ndoo nzima ya huo ute? manake kama ni shanga kule ni vazi la lazima ati!
PetCash umenivunja mbavu! Ndoo nzima??hahahahahaaa..
 
Last edited by a moderator:
Unajua nimefuatilia huu uzi na nimeshindwa kuelewa kwamba Kisendi hataki wanawake wavae shanga wakiwa ofisini au alikuwa anataka kusema nini, nomba kujuzwa kama shanga wanawake hawatakiwi kuvaa wakiwa ofisini, kwenye dala dala and sokoni.

Ushauri wangu wavae wakiekea kwa wapenzi wao na sio mchana kazini na nguo zao na vitop vinaumiza sana.
 
Last edited by a moderator:
demu mmoja kafukuziwa kwa muda sana.baadae akaja akaacept offer.ishu ikawa kutoa mzigo sasa,kabaana sana kwa madai yeye ni bikra kabisa mwanaume hamjui. Cku ya kutimba getto ilikua poa kwa mwanaume akijua leo kapata kitu roho inapenda.baada ya maongez flan na kumrubuni mtoto akakubali kuachia mzigo.dah ile anavua chakushangaza mtoto ana shanga km 10 kiunoni tena za kienyeji.sasa hii cjui imekaaje hapa.
 
No research, no right to speak. Ungeomba u-dig ili uprove kama ni kweli au lah!!
 
demu mmoja kafukuziwa kwa muda sana.baadae akaja akaacept offer.ishu ikawa kutoa mzigo sasa,kabaana sana kwa madai yeye ni bikra kabisa mwanaume hamjui. Cku ya kutimba getto ilikua poa kwa mwanaume akijua leo kapata kitu roho inapenda.baada ya maongez flan na kumrubuni mtoto akakubali kuachia mzigo.dah ile anavua chakushangaza mtoto ana shanga km 10 kiunoni tena za kienyeji.sasa hii cjui imekaaje hapa.

Mbona umeishia njiani?malizia story kama alikuta bk au siyo! Kama alifanikiwa kuona izo shanga alishindwa nn kuprove kama ni bk?
 
Kwa taarifa yako shanga ni utamaduni wa makabila mengi tanzania...mama yangu ni mbena na huko kwao enzi hizo mtoto wa kike ilikuwa anapoanza kutambaa tu anavalishwa shanga kwa imani kuwa zinasaidia ku-shape kiuno kwa kadiri anavyokua...so bikra na shanga havigombani...lol..!!!
 
Mmmh... Naona hadithi haijamalizika.....Nasubiri stori iishe halafu ndio nitatoa comments zangu.
 
part two ya hii story ikianza naomba mtu 'aniDIPU'!
 
Back
Top Bottom