Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Kuna baadhi ya wadada (hata wamama) wanapenda kuvaa cheni au kiushanga kwenye mguu au miguu yote miwili. Nimejaribu kuuliza nikaambiwa ni mapambo tu. Baadhi ya watu wanasema ukiona hivyo ujue tigo inaruhusiwa hapo. Wataalamu wa haya mambo naomba mniweke wazi nisijechekwa mwenzenu.
 

Ni mapambo tu. Hata X-gf wangu alikuwa anavaa lakini hana huo mchezo!
 
Zamani ilikuwa ukivaa mguu wa kushoto unaliwa jicho la samaki na ukivaa mguu wa kulia ni daima mbele tu. Siku hizi ni urembo tu hakuna jipya.
 
Na kwa wanaume wavaao hizo cheni / shanga miguuni?
 
Ni pambo tu. Lakini wazee wetu wa zamani wanasema ukivaa hicho kicheni cha mguu wanasema unatoa tigo au malaya.
 
Hakuna jipya, mii naona poa tu, ni sehemu ya urembo kwa dada zetu haina uhusiano na tigo wala zain!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…