Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Hawa ndio wale wanaoamini kila mwanaume anayesuka nywele au kutoboa masikio na kuvaa hereni shoga mi spend kweli hii overgeneralisation:bored:Sio kweli bwana,watu wanavaa na Tigo zao mbona hawagawi.........
Wanawake wachafuuuu....😱vyooooUongo mtupu.
Uongo mtupu.
kwel kabsa! Halaf anaomba uzoefu wa nn sasa? Tatzo siku iz jf imeingiliwa na watoto wanaobalehe basi imekuwa shida kweli. Ukitaka kujua hilo angalia threads za kujiunga na vyuo zilivojaa ndo utaamini kuwa teenagers ndo wamejaa humu!
Hili la watoto kujaa JF nakubaliana na wewe 100%Tatizo siku iz JF imeingiliwa na watoto wanaobalehe basi imekuwa shida kweli.
Hili la watoto kujaa JF nakubaliana na wewe 100%