kweli watoto wamekuwa rundo hapa JF hadi kero. Eti huyu dogo anahitaji uzoefu wa shanga! Uzoefu si ndio huo aliopata wa shanga kupata kutu!
af dogo,hapo kabla hujaweka snowhite mbn hakuna DA, kama kwa DA FaizaFoxy,hilo tutalijadili baadae
hawa waache wapakane mate kwanza kama vitotot vya paka
Amaaaaa!
Yeshakuwa hayo ya kuamkuana shikamoo?
Mbona wataka kunionea? Hii shule nshakuambia ni elimu ya watu wazima aka memkwa!
hahahhahaaha kwa kweli bora tu ibakie mekwa
unaweza ukafika darasani unashangaa anakwambia
KWANI WE MMASAI?
kiruuuuuuh!
i love zem njenjez!
hii supra and suruali za orange hii nope nope!
Wana JF,
Wanawake tunawajua kwa mapambo mbalimbali, mengine ya kuonekana na mengine mpaka uwe wake ndiyo uyaone.
Mimi nimekutana na wanawake kadhaa kutoka maeneo fulani ambao hupenda kuvaa shanga kiunoni kama moja ya tamaduni zao. LKN cha kushangaza shanga zenyewe zimetengeneza uchafu kama ukungu hivi, hata ngozi za hao wanawake zina fungus......YAANI MPAKA NILISHINDWA KU........,sasa wadau naomba mnipe uzoefu wa shanga hizi.
Sema na wewe hukunyoa.....zimekunasia,zinaumajeeeee!!!!Lakin umejifunza
kweli watoto wamekuwa rundo hapa JF hadi kero. Eti huyu dogo anahitaji uzoefu wa shanga! Uzoefu si ndio huo aliopata wa shanga kupata kutu!
si muuwaaache baba zenu wanaojua kuzitumia wazitumie,nyie endeleeni kupakana mimate tu!
pheeew!
asojua maana ukimwambia maaana wapoteza muda wako!