Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

kweli watoto wamekuwa rundo hapa JF hadi kero. Eti huyu dogo anahitaji uzoefu wa shanga! Uzoefu si ndio huo aliopata wa shanga kupata kutu!

ahahahahahahahahahhahahhahahhahahha YU HAVE MADE MY DAY!mapeeeeeema !ngoja nirudi kulala!
 
Amaaaaa!
Yeshakuwa hayo ya kuamkuana shikamoo?
Mbona wataka kunionea? Hii shule nshakuambia ni elimu ya watu wazima aka memkwa!
af dogo,hapo kabla hujaweka snowhite mbn hakuna DA, kama kwa DA FaizaFoxy,hilo tutalijadili baadae

hawa waache wapakane mate kwanza kama vitotot vya paka
 
Last edited by a moderator:
Amaaaaa!
Yeshakuwa hayo ya kuamkuana shikamoo?
Mbona wataka kunionea? Hii shule nshakuambia ni elimu ya watu wazima aka memkwa!

hahahhahaaha kwa kweli bora tu ibakie mekwa
unaweza ukafika darasani unashangaa anakwambia
KWANI WE MMASAI?
kiruuuuuuh!
i love zem njenjez!
hii supra and suruali za orange hii nope nope!
 
Hehehe na white shoes! Na clutch kama ile ya ally rhemtullah majuzi kwenye eatv.

Kizazi cha nyoka hichi.
hahahhahaaha kwa kweli bora tu ibakie mekwa
unaweza ukafika darasani unashangaa anakwambia
KWANI WE MMASAI?
kiruuuuuuh!
i love zem njenjez!
hii supra and suruali za orange hii nope nope!
 
Wana JF,
Wanawake tunawajua kwa mapambo mbalimbali, mengine ya kuonekana na mengine mpaka uwe wake ndiyo uyaone.
Mimi nimekutana na wanawake kadhaa kutoka maeneo fulani ambao hupenda kuvaa shanga kiunoni kama moja ya tamaduni zao. LKN cha kushangaza shanga zenyewe zimetengeneza uchafu kama ukungu hivi, hata ngozi za hao wanawake zina fungus......YAANI MPAKA NILISHINDWA KU........,sasa wadau naomba mnipe uzoefu wa shanga hizi.

ebu weka picha then ndio tujadili with reference
 
..ungemnunulia dhahabu au Tanzanite....(eti ulishindwa ku -------munkari ulokuwa nao ulipotelea wap? ulitazama sana bata..)
 
Mwanamke mzuri ni aibu kuvaa shanga
 

Attachments

  • Shanga.jpg
    Shanga.jpg
    24.8 KB · Views: 2,114
Back
Top Bottom