Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Huko kwingine kwote umebwabwaja tu... point ipo hapo kwenye maneno manne ya mwisho wa sentensi yakoNdo maanaa mtaputakutika ka sisimizi kwa ukimwi hata mi pia kiuno ninacho babu!!
Kwako wewe ndio lakini kwangu mimi niloyasema yote yana umuhimu!!Huko kwingine kwote umebwabwaja tu... point ipo hapo kwenye maneno manne ya mwisho wa sentensi yako
Kapendeza
Huyu si mbantu shanga hazivaliwi 2 hata siku moja.Hayo ni matusi
Huyu si mbantu shanga hazivaliwi 2 hata siku moja.Hayo ni matusi
Habari tena wana JF wenzangu! Waswahili walisema elimu bahari huwezi yote kujua..!
Leo nataka kuwauliza tu akina dada na hata akina baba kama wewe unajua kuhusiana na hii kitu!
WAKINA DADA WANAOVAA CHENI MIGUUNI. unaweza kuta kavaa mguu mmoja au yote miwili wao wanaita (VIKUKU) huwa zina ashilia au kumanisha nini? Huku mtaani midume huwa tuna danganyana sana juu ya hii kitu Wengine husema ukimuona anazo pande zote huyo homosexual, Ebu tupeni ukweli wana dada au ni urembo tu kama heleni....?!
*Naomba kuwasilisha hoja*
Mkuu Shamkware, wewe unakutana na hawa watu, si uwalize wenyewe wahusika. Ukimuona amevaa kimoja muulize "Ukivaa hiki kimoja ina maanisha nini?" na pia wa viwili nae unaweza kumuuliza. Simple like that.
Nasikia kikivaliwa kushoto kinatangaza matumizi ya 0713 na vikivaliwa miguu yote ni urembo kama hereni au bangili.