Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

mie pia navaa kama urembo na wala si vinginevyo! kingine kuna baadh ya makabila kam wamasai wanavaa kabisa zile shanga zao miguuni! na wanapendeza kwelikweliii

charty,

Ni ukweli uyasemayo kuwa uwa ni urembo tu na si vinginevyo.

Lakini ningependa kukwambia kuwa mtazamo wa watu katika jamii yetu una shinikizo kubwa katika maamuzi yetu.

Mfano, kama tayari 'vikuku' vimeonekana kuwa ni aina ya ishara kwa wanawake kutoa kotekote. Je, ukienda kwa watu unao waheshimu wao watakufikiria vipi?

Mfano mwingine ni wanaume kusuka; jamii ya kimasai ni sehemu ya mila zao, lakini vijana wa mujini wakisuka jamii inawachulia vipi? unadhani ukitoa mfano wa wamasai wanamme kusuka ndio utaeleweka? Sidhani.

Binafsi nilimshauri mchumba wangu asivae kikuku maana ilikuwa ikiniweka kwenye mazingira magumu pindi nikiwa nae na alikubali.
 
Last edited by a moderator:

Ulichosema ni kweli watu wengi sana wana tafasili mbaya juu ya hivi vitu na uelewa mbovu hivo ukimolea mfano msai watu watasema yule ni destuli na mila yake lakini kwenye jamii yetu uelewa sio sahihi juu ya hivi vitu.
 
Last edited by a moderator:
Ni urembo tu miguu inaongezeka uzuri
kama una mguu wa bia ndo wacha kabisa
 
Yote miwili undo safi yaani anapiga miguu yote kama lampard
 
Mi nikumuona msichana au mwanamke yeyote amevaa kikuku najikuta tu nimemshusha hadhi, sijui kwanini!
 
topic nzuri, hata kwetu hii dhana ipo, inafikia hatua tunaona aibu kuongea na akina dada wenye vikuku kwani wanaaminika kuwa wako sokoni. tafadhali mwenye ufahamu atuambie kama ni zaidi ya urembo!
 

mhhh haya lakini mwaya huezi ukawaridhisha watu wote wakufikirie vzuri kwa kila unachofanya,,but ua very right on this!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…