izo umkute nazo mtoto wa kizaramo anaye jua kucheza nayo hatari wewe
Ahhha nin s haba
Maufundi ya hivi vitu
Mzaramo cha mtoto ngoma mmakonde bwana
Unaijua kazi ya shanga lakini au basi tu? Kama unajua nipe kazi 5 za shanga kwenye uwanja wa fundi seremala ndo nitajua yaliyomo yamo au hayamo.
Unaijua kazi ya shanga lakini au basi tu? Kama unajua nipe kazi 5 za shanga kwenye uwanja wa fundi seremala ndo nitajua yaliyomo yamo au hayamo.
Eti mikanda miwili
umekua mganga
Chen moja kiunoni mchezo umekwisha